La Quica
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 1,009
- 2,315
Huyu manzi tulikutana Nairobi, nilienda kwenye mbishe flani ya chap kwa haraka, mwenyeji wangu akanipeleka club moja inaitwa K1 Klub.
Hapo nilikutana na mamsi mmoja, ni msupuu siyo utani nikamkatia akakatika. Basi siku hiyo nikanunua tu pale vinywaji, alikuwa na beste zake tukapeana number.
Nikarudi zangu Chugga huku tukiendelea kuwasiliana. Baada ya miezi kama miwili nikarudi Nairobi, nikampanga tukakutana hotel moja cheap jijini Nairobi.
Hapa na pale kwenye kwikwichi kwikwichi manzi akapandwa mzuka akaniambia, "Quica you f*ck me better than the other niggas".
Mzuka ulikata asee, ila sikumuonyeshea pale pale. Sasa hivi nimerudi Chugga yule manzi tulizoea kuwasiliana kila siku, ila sasa hivi nimeamua kumuacha kutokana na maneno aliyoniambia.