Nimeamua kuanza rasmi ujasiriamali

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,215
Reaction score
322
Nimeamua kuanza kuuza viazi mviringo na mtaji wa tsh 50 000.ambapo nitaanza na debe tano
>kununua tsh7000/debe*5=35000
>usafiri 10 000
>mengineyo 5000.

jumla 50 000
>nategemea kuuza 20 000/debe *5= 100 000..
niko mwanza nitatoa tarime. pia baadaye naweza anzisha kuchoma chips.
kama kuna nyongeza naomba ushauri!
 
Hongera kaka

nashukuru mkuu kwa kunitia moyo, sasa niko mguu kwa mguu kwa wachoma chips natafuta uteja kwa punguzo kidogo angalau uhakika wa kuwa na wateja wengi uwepo. sokoni kilo tsh 2000 mimi 1500 nabado faida nizaidi ya 60%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…