Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 315
- 762
Aslaam,
Baada ya kujikusanya kwenye mtaji na kujiuliza nifanye biashara gani, nimeamua kuchukua 10% ya mtaji WANGU kwenda kuanza biashara.
Kiukweli hakuna kitu kigum kwenye biashara kama kuamua ni biashara gani yakufanya ambayo itakidhi mahitaji yako na kukuletea faida itakayokuwezesha kukuza biashara yako lakini pia kuendesha maisha yako.
Hasa Kwa kipindi hiki ambacho biashara ni nyingi na ushindani ni mkubwa saana.
Binafsi baada ya kupata mtaji nilioamini kuwa unaweza kuningiiza sokoni na kuanza kufanya biashara yoyoye ile, nilipata changamoto yakujua hasa ni aina gani ya biashara naweza kufanya lakini pia je niifanye Kwa ukubwa gani?
Changamoto nyingine nikuwa Mimi sina uzoefu saana na hizi biashara maana Kwa muda mrefu sana sijafanya biashara, hili lilikuwa linanipa hofu sana yakuanza biashara.
Japo nimekuwa nafanya biashara za kuvizia hasa kipindi Cha msimu wa mazao Kwa huku niliko.. hii haikuwa yakuchanganya akili sana maana nilikuwa nalangua Kwa wakulima then mim napeleka yale mazao ghalani baada ya mnada napata changu.
Hii ni tofauti na biashara zingine ambazo unazifanya masaa 12 nakuendela, biashara zinazohitaji akili nyingi na kurupushan za hapa na pale.
Sasa baada yakufukiria saana nimeamua ni Bora nichukue 10% ya mtaji wangu wote alafu nikaanzie biashara Kwa kipindi Cha miezi 3 mpaka 6,
Huko sokon nataka pia nikawe winga wa bidhaa mbalimbali lengo likiwa kusoma mazingira ya sokon kwenye bidhaa hizo lakini pia na mizunguko yake.
Naamini nikifanya hivo itakuwa rahisi kwangu kupata uzoefu na taarifa sahihi za biashara ninazowaza kuzifanya.
Baada ya hapo nitakuwa na maamuzi sahihi ya kutumia mtaji wangu niliokuwa nao.