Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 587
- 276
Baada ya kufanya utafiti mrefu nimeamua kufungua akaunti ya dola na benki ya Equity , je kuna anaefahamu benki nzuri zaidi kwa akaunti hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kufanya utafiti mrefu nimeamua kufungua akaunti ya dola na benki ya Equity , je kuna anaefahamu benki nzuri zaidi kwa akaunti hii?
huyu ana ugonjwa mbaya maana atatafiti ndani ya tafitiHapa umechanyanya madesa,
Umeshaamu kufungua equity, bank zingine za nini sasa? Labda ungeulizia details za equity dollar account.
Baada ya kufanya utafiti mrefu nimeamua kufungua akaunti ya dola na benki ya Equity , je kuna anaefahamu benki nzuri zaidi kwa akaunti hii?
Hapa umechanyanya madesa,
Umeshaamu kufungua equity, bank zingine za nini sasa? Labda ungeulizia details za equity dollar account.
Kwanza inategemea na wewe kama una ulazima A kufungua akaunti hiyo, kwa mfano kama kazini kwako unalipwa kwa dola ni bora ufungue akaunti ya dola kuliko kuwa na akaunti ya shilingi kwa maana benki utapigwa bao wao watabadilisha kwa rate zao ambazo ni ndogo kuliko ukizichukua na kuzichange mwenyewe, pia ni rahisi kuibiwa na wafanyakazi wa benki kwani wanaweza kuchakachua pesa zako kirahisi kwa mfano anaweza kuchange dola 1 kwa 1600 lkn kwenye akaunti yako zikaingia kwa 1500 sasa kama dola ni nyingi na kila dola moja anakuchakachua sh mia zikiwa dola elfu moja kashatengeneza laki moja ya bure kabisa.Mkuu babu kijana waweza nisaidia kunielimisha khs faida za kufungua akaunti ya dollar
Baada ya kufanya utafiti mrefu nimeamua kufungua akaunti ya dola na benki ya Equity , je kuna anaefahamu benki nzuri zaidi kwa akaunti hii?