Nimeamua kufungua akaunti ya dola Equity

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
587
Reaction score
276
Baada ya kufanya utafiti mrefu nimeamua kufungua akaunti ya dola na benki ya Equity , je kuna anaefahamu benki nzuri zaidi kwa akaunti hii?
 
Hapa umechanyanya madesa,

Umeshaamu kufungua equity, bank zingine za nini sasa? Labda ungeulizia details za equity dollar account.
 
huyu ana ugonjwa mbaya maana atatafiti ndani ya tafiti
 
Baada ya kufanya utafiti mrefu nimeamua kufungua akaunti ya dola na benki ya Equity , je kuna anaefahamu benki nzuri zaidi kwa akaunti hii?

hujafanya makosa kwani tarrifs zake ziko chini kufananisha na mabenk mengine pia hakuna gharama za makato ya kila mwezi kuendesha account
 
Hapa umechanyanya madesa,

Umeshaamu kufungua equity, bank zingine za nini sasa? Labda ungeulizia details za equity dollar account.

Mkuu umetishaaaaa!!
 
Wadau nimetoa taarifa tu kwa kuna uzi niliuweka humu na kuomba ushauri kufungua akaunti ya dola, baada ya kupitia michango ya wanajf nikaamua kutembea kila benki nikatafiti na hapa nimerudisha feedback ili kupata final decision.
 
Mkuu babu kijana waweza nisaidia kunielimisha khs faida za kufungua akaunti ya dollar
 
Kwanza inategemea na wewe kama una ulazima A kufungua akaunti hiyo, kwa mfano kama kazini kwako unalipwa kwa dola ni bora ufungue akaunti ya dola kuliko kuwa na akaunti ya shilingi kwa maana benki utapigwa bao wao watabadilisha kwa rate zao ambazo ni ndogo kuliko ukizichukua na kuzichange mwenyewe, pia ni rahisi kuibiwa na wafanyakazi wa benki kwani wanaweza kuchakachua pesa zako kirahisi kwa mfano anaweza kuchange dola 1 kwa 1600 lkn kwenye akaunti yako zikaingia kwa 1500 sasa kama dola ni nyingi na kila dola moja anakuchakachua sh mia zikiwa dola elfu moja kashatengeneza laki moja ya bure kabisa.
 
Baada ya kufanya utafiti mrefu nimeamua kufungua akaunti ya dola na benki ya Equity , je kuna anaefahamu benki nzuri zaidi kwa akaunti hii?

Nakumbuka ulileta uzi hapa.Ni ustaarabu kuleta feedback!
 
Back
Top Bottom