Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Siku hizi ajira/mchongo/biashara ni unajuana na nani?
Recommendations tu.
Don't dare to go to an interview or apply for a job.
Bongo kazi nyiiingi mnafundishana mnafanya.
Hakuna Rocket Science kwenye hizi kazi, kazi nyingi ukikaa field husika kwa mda wa siku 90 una Master (miezi mitatu hivi.
Tuombe MUNGU atukutanishe na watu potential, waka-bond na sisi watafutaji wasio na kisokolonkwinyo (roho ya korosho).
Kuna mtu anakuja kwenye maisha kama daraja la kukuvusha kwenda upande wa pili ambapo ungekuwa mwenyewe ungefika kwa machozi jasho na damu nyingi na kwa kuchelewa sana, ila akija mtu huyo unaweza kuwa excited how is all things going too smooth like this !!
Si ndugu, washikaji, jamaa ama hata rafiki . Mungu ana tabia ya kukuletea mtu mmoja akakunyanyua toka uliko, ukafika mahala fulani.
Nimekuwa nahudhuria harusi mbalimbali za Watu kadhaa kwa mualiko n.k, na asilimia kubwa wamefanikiwa ama Wana kazi nzuri...ila katika utambulisho, asilimia 90 hua Kuna mtu hua wanamtambulisha ambaye ndio alimfundisha kazi ama alimuinua kiuchumi ama ni chanzo Cha mafanikio yake..na hata sio ndugu wala class mate ..
Maisha ya utafutaji Yana mengi.