Nimeamua kufuta shkamoo

Nimeamua kufuta shkamoo

LAPUA MAGNUM 338

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
431
Reaction score
1,223
Habari ya jioni wana jamvi, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, tatizo kuna mabroo wangu toka niko primary nilikua nawasalim shkamoo lakin sasa nikiwasalim wanajibu tu mamb vip dogo, hata wengine wengi pia hukataa salam ya shkamoo, kiukwel hata mimi siitaki hii salam hasa wadada wakinisalim, kwaiyo nmeamua sitaitikia shkamoo wala kumwamkia alonizidi umri labda awe ndugu yangu, nimegundua watu wengi hawatak shakamoo.
 
Rais atangazie taifa kufuta hii salama maana haiko sawa. Hivi unajuaje mtu wa kumpa na kumnyima shikamoo?
 
Habari ya jioni wana jamvi, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, tatizo kuna mabroo wangu toka niko primary nilikua nawasalim shkamoo lakin sasa nikiwasalim wanajibu tu mamb vip dogo, hata wengine wengi pia hukataa salam ya shkamoo, kiukwel hata mimi siitaki hii salam hasa wadada wakinisalim, kwaiyo nmeamua sitaitikia shkamoo wala kumwamkia alonizidi umri labda awe ndugu yangu, nimegundua watu wengi hawatak shakamoo.
Mambo vipi dogo
 
Rais atangazie taifa kufuta hii salama maana haiko sawa. Hivi unajuaje mtu wa kumpa na kumnyima shikamoo? Yan kwa nchi nyingne cjui kama wako kama sisi watanzania yan unaangalia mtu umpe salam gan kutokana na umri wake
 
Habari ya jioni wana jamvi, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, tatizo kuna mabroo wangu toka niko primary nilikua nawasalim shkamoo lakin sasa nikiwasalim wanajibu tu mamb vip dogo, hata wengine wengi pia hukataa salam ya shkamoo, kiukwel hata mimi siitaki hii salam hasa wadada wakinisalim, kwaiyo nmeamua sitaitikia shkamoo wala kumwamkia alonizidi umri labda awe ndugu yangu, nimegundua watu wengi hawatak shakamoo.
kama unawaambia shakamoo kwanini wasikatae?
 
Angeifuta kimya kimya kwani nini kingeharibika?
 
Unawezajikuta unamsalimia shikamoo mwanamke unayemzidi umri.
Kuna baadhi maisha huwazeesha mapema.

Hii imenifanya nitoe hii salamu kwa kuchunguza sana.
 
Back
Top Bottom