LAPUA MAGNUM 338
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 431
- 1,223
Habari ya jioni wana jamvi, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, tatizo kuna mabroo wangu toka niko primary nilikua nawasalim shkamoo lakin sasa nikiwasalim wanajibu tu mamb vip dogo, hata wengine wengi pia hukataa salam ya shkamoo, kiukwel hata mimi siitaki hii salam hasa wadada wakinisalim, kwaiyo nmeamua sitaitikia shkamoo wala kumwamkia alonizidi umri labda awe ndugu yangu, nimegundua watu wengi hawatak shakamoo.