LAPUA MAGNUM 338
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 431
- 1,223
Mambo vipi dogoHabari ya jioni wana jamvi, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, tatizo kuna mabroo wangu toka niko primary nilikua nawasalim shkamoo lakin sasa nikiwasalim wanajibu tu mamb vip dogo, hata wengine wengi pia hukataa salam ya shkamoo, kiukwel hata mimi siitaki hii salam hasa wadada wakinisalim, kwaiyo nmeamua sitaitikia shkamoo wala kumwamkia alonizidi umri labda awe ndugu yangu, nimegundua watu wengi hawatak shakamoo.
Rais atangazie taifa kufuta hii salama maana haiko sawa. Hivi unajuaje mtu wa kumpa na kumnyima shikamoo? Yan kwa nchi nyingne cjui kama wako kama sisi watanzania yan unaangalia mtu umpe salam gan kutokana na umri wake
kama unawaambia shakamoo kwanini wasikatae?Habari ya jioni wana jamvi, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, tatizo kuna mabroo wangu toka niko primary nilikua nawasalim shkamoo lakin sasa nikiwasalim wanajibu tu mamb vip dogo, hata wengine wengi pia hukataa salam ya shkamoo, kiukwel hata mimi siitaki hii salam hasa wadada wakinisalim, kwaiyo nmeamua sitaitikia shkamoo wala kumwamkia alonizidi umri labda awe ndugu yangu, nimegundua watu wengi hawatak shakamoo.
Nimezoea kusalimia "Assalam alayqum" bila kuangalia umri wa mtu kiasi had friends wangu wa kikristo wameshaizoea pia
waleyqum salaam"Assalam alayqum"
Asante Madame Salamba.waleyqum salaam
okayAsante Madame Salamba.
Mambo vipi dogo Poa bro nambie
Salama za Kizungu raha sana.
Good morning.
Good afternoon.
Good evening.
Good night.
Yeyote anaweza kumwambia yoyote yule hata awe mkubwa ama mdogo. Napenda tuwe na salam kama izo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shikamoo salamu ya kikuda sanaaaa