Dodoma hakuna malisho ya kunenepesha ng'ombe.Ajikite na MbuziNenepesha ng'ombe
Fuga na nyuki uhitaji wa asali upo juu sana
Wadau,
Baada ya ya utafiti wa zaidi ya mwako mmoja, nimeamua kuweka makazi wilaya ya Chemba (Dodoma) na nataka kujikita kwenye ufugaji wa kisasa wa ngombe na mbuzi.
Naomba kupata connection na wadau waliopo hapa kwa nia ya kubadilishana mawazo jinsi ya kuishi hapa makazi mapya.
Asanteni familia.
Mkuu kwenya kijiji bado sijaamua ni settle wapi, naomb aushauri wako. Kwa sasa nimefikia kwamtoroMasiKa SAWA lakini kiangazi kikali sana!!
Utabahatisha TU mkuu!!
Labda ungesogea manyara kule!!
Kata na kijiji gani!!?Gwandi,Rofati au kidoka,au wapi Handa!!?
Uchunguzi wangu kwa ni upatikanaji wa mifugo ndio ilikua factor kubwa. mengine naendelea kujifunza nikiwa hapa hapa kabisa.Hebu tuelezee kwenye utafiti wako uligundua Nini?
sawaa chiefHuko ni kwa bwana masigara juma ngamia msalimie swahiba sjakutana naye muda
Achana na Chemba. Nenda Morogoro au Tanga.Wadau,
Baada ya ya utafiti wa zaidi ya mwako mmoja, nimeamua kuweka makazi wilaya ya Chemba (Dodoma) na nataka kujikita kwenye ufugaji wa kisasa wa ngombe na mbuzi.
Naomba kupata connection na wadau waliopo hapa kwa nia ya kubadilishana mawazo jinsi ya kuishi hapa makazi mapya.
Asanteni familia.
Wadau,
Baada ya ya utafiti wa zaidi ya mwako mmoja, nimeamua kuweka makazi wilaya ya Chemba (Dodoma) na nataka kujikita kwenye ufugaji wa kisasa wa ngombe na mbuzi.
Naomba kupata connection na wadau waliopo hapa kwa nia ya kubadilishana mawazo jinsi ya kuishi hapa makazi mapya.
Asanteni familia.
Kwamtoro-farkwa-Tumbakose-Rofati-Gwandi!!Mkuu kwenya kijiji bado sijaamua ni settle wapi, naomb aushauri wako. Kwa sasa nimefikia kwamtoro
Asante mkuu, unaweza nitajia eneo/kijiji kabisa? itakua msaada sanaNenda tanga maeneo ya mbele ya chalinze kidogo hapo , kuna eneo karibu na mto wami hauna watu wengi na kupo kijani mwaka mzima. Pale utalea mifugo utajirike bure
kuu morogoro panafaa ila aina ya ngombe walioko huko ni zebra(size ndogo) hawana faida sana sokoni kama wa huku Dodoma-Singda-Manyara na SImiyuAchana na Chemba. Nenda Morogoro au Tanga.
Sehemu gani mkuu kunafaa kw akilimo? unaweza nijuza vijiji? na ja mashamba yanapatikana ya kununua/kukodi?Hapo chemba Kama una mtaji wa kilimo ingia tu ndani kidogo lima Alizeti ukivuna uje kunishukuru.
Siyo mda nami ntakuwa hapo kwa ajili ya kilimo tar 29 au 30