Nimeamua kuhamia Chemba (Dodoma)

Nimeamua kuhamia Chemba (Dodoma)

Kwamtoro-farkwa-Tumbakose-Rofati-Gwandi!!

Rofati Kuna wamasai kina msando,kilo n.k Kuna maeneo ya kuchungu ya kutosha kama kule wekense!lakini kiangazi nyasi zipo kiasi!!bends ujaribu mkuu!!!,2009/2010 nilikuwepo hapo!!
wekense ni wapi huku mkuu?
 
Wadau,

Baada ya ya utafiti wa zaidi ya mwako mmoja, nimeamua kuweka makazi wilaya ya Chemba (Dodoma) na nataka kujikita kwenye ufugaji wa kisasa wa ngombe na mbuzi.

Naomba kupata connection na wadau waliopo hapa kwa nia ya kubadilishana mawazo jinsi ya kuishi hapa makazi mapya.

Asanteni familia.
Hongera mkuu kwa kuamua kuwa mfugaji,wasalimie hao matrafik hapo karibu na geti la ukaguzi,maana mpka jina langu wanajifanyaga wanalijua...
 
M

kuu morogoro panafaa ila aina ya ngombe walioko huko ni zebra(size ndogo) hawana faida sana sokoni kama wa huku Dodoma-Singda-Manyara na SImiyu
Mbegu ya ng'ombe unaamua wewe. Pia hujafanya utafiti wa kutosha. Moro kuna ng'ombe wakubwa.
Wadau,

Baada ya ya utafiti wa zaidi ya mwako mmoja, nimeamua kuweka makazi wilaya ya Chemba (Dodoma) na nataka kujikita kwenye ufugaji wa kisasa wa ngombe na mbuzi.

Naomba kupata connection na wadau waliopo hapa kwa nia ya kubadilishana mawazo jinsi ya kuishi hapa makazi mapya.

Asanteni familia.
Usiwekeze sehemu ambayo wenyeji ni wavivu, hawana tamaa ya utajiri, hawapendi wageni. Sehemu nyingi za Chemba ziko hivyo. Ndio maana hakuna uwekezaji wa maana. Naongea kwa experience.
 
Nashukuru sana kwa mawazo chief. Kwa Morogoro nilenge hasa maeneo gani kwa uzoefu wako kwenye Ngombe wengi na madhigira mazuri.
 
Mkuu kwenya kijiji bado sijaamua ni settle wapi, naomb aushauri wako. Kwa sasa nimefikia kwamtoro
Ndugu, umedai kwamba umetafiti, sasa mbona maswali unatuuliza sisi wakati hata matokeo ya utafiti hujayaweka hapa?
 
Vijijini kupata maendeleo ni kazi..labda kama kufuga au kulima uwape kazi wazawa wa huko huko ww uwe msimamizi tuu...
 
Wadau,

Baada ya ya utafiti wa zaidi ya mwako mmoja, nimeamua kuweka makazi wilaya ya Chemba (Dodoma) na nataka kujikita kwenye ufugaji wa kisasa wa ngombe na mbuzi.

Naomba kupata connection na wadau waliopo hapa kwa nia ya kubadilishana mawazo jinsi ya kuishi hapa makazi mapya.

Asanteni familia.
Cha kwanza jizindike. Hizo Kanda kwa uchawi ni balaa
 
Asanteni sana wadau kwa michango yenu na mawazo. Imekua ya msaada mkubwa. Nitarudi hapa tena kutoa mrejesho wa mafanikio na changamoto ya safari yangu hii!
 
Wadau,

Baada ya ya utafiti wa zaidi ya mwako mmoja, nimeamua kuweka makazi wilaya ya Chemba (Dodoma) na nataka kujikita kwenye ufugaji wa kisasa wa ngombe na mbuzi.

Naomba kupata connection na wadau waliopo hapa kwa nia ya kubadilishana mawazo jinsi ya kuishi hapa makazi mapya.

Asanteni familia.
Kuna maeneo makubwa na maji ya kutosha ?
 
Back
Top Bottom