wekense ni wapi huku mkuu?Kwamtoro-farkwa-Tumbakose-Rofati-Gwandi!!
Rofati Kuna wamasai kina msando,kilo n.k Kuna maeneo ya kuchungu ya kutosha kama kule wekense!lakini kiangazi nyasi zipo kiasi!!bends ujaribu mkuu!!!,2009/2010 nilikuwepo hapo!!
Fika rofat ulizia wanalima sans ufuta,Kuna jamaa anaitwa wadi utamkuta huko!!wekense ni wapi huku mkuu?
Hongera mkuu kwa kuamua kuwa mfugaji,wasalimie hao matrafik hapo karibu na geti la ukaguzi,maana mpka jina langu wanajifanyaga wanalijua...Wadau,
Baada ya ya utafiti wa zaidi ya mwako mmoja, nimeamua kuweka makazi wilaya ya Chemba (Dodoma) na nataka kujikita kwenye ufugaji wa kisasa wa ngombe na mbuzi.
Naomba kupata connection na wadau waliopo hapa kwa nia ya kubadilishana mawazo jinsi ya kuishi hapa makazi mapya.
Asanteni familia.
Mkuu maelekezo kidogo!Chemba ombiri
Nimewahi fika mara Moja panaitwa soyaMkuu maelekezo kidogo!
Mbegu ya ng'ombe unaamua wewe. Pia hujafanya utafiti wa kutosha. Moro kuna ng'ombe wakubwa.M
kuu morogoro panafaa ila aina ya ngombe walioko huko ni zebra(size ndogo) hawana faida sana sokoni kama wa huku Dodoma-Singda-Manyara na SImiyu
Usiwekeze sehemu ambayo wenyeji ni wavivu, hawana tamaa ya utajiri, hawapendi wageni. Sehemu nyingi za Chemba ziko hivyo. Ndio maana hakuna uwekezaji wa maana. Naongea kwa experience.Wadau,
Baada ya ya utafiti wa zaidi ya mwako mmoja, nimeamua kuweka makazi wilaya ya Chemba (Dodoma) na nataka kujikita kwenye ufugaji wa kisasa wa ngombe na mbuzi.
Naomba kupata connection na wadau waliopo hapa kwa nia ya kubadilishana mawazo jinsi ya kuishi hapa makazi mapya.
Asanteni familia.
Nashukuru sana kwa mawazo chief. Kwa Morogoro nilenge hasa maeneo gani kwa uzoefu wako kwenye Ngombe wengi na madhigira mazuri.Mbegu ya ng'ombe unaamua wewe. Pia hujafanya utafiti wa kutosha. Moro kuna ng'ombe wakubwa.
Usiwekeze sehemu ambayo wenyeji ni wavivu, hawana tamaa ya utajiri, hawapendi wageni. Sehemu nyingi za Chemba ziko hivyo. Ndio maana hakuna uwekezaji wa maana. Naongea kwa experience.
Yule aliesemaga.......mihula ya uongozi WA uraisi iwe miaka sabasaba.akitaka apendwe na.....zake.Huko ni kwa bwana masigara juma ngamia msalimie swahiba sjakutana naye muda
Ombiri pale afanye nini?Chemba ombiri
Ndugu, umedai kwamba umetafiti, sasa mbona maswali unatuuliza sisi wakati hata matokeo ya utafiti hujayaweka hapa?Mkuu kwenya kijiji bado sijaamua ni settle wapi, naomb aushauri wako. Kwa sasa nimefikia kwamtoro
AkafugeOmbiri pale afanye nini?
Cha kwanza jizindike. Hizo Kanda kwa uchawi ni balaaWadau,
Baada ya ya utafiti wa zaidi ya mwako mmoja, nimeamua kuweka makazi wilaya ya Chemba (Dodoma) na nataka kujikita kwenye ufugaji wa kisasa wa ngombe na mbuzi.
Naomba kupata connection na wadau waliopo hapa kwa nia ya kubadilishana mawazo jinsi ya kuishi hapa makazi mapya.
Asanteni familia.
Kuna maeneo makubwa na maji ya kutosha ?Wadau,