Car4Sale Nimeamua kuigawa prado hii kwa bei ya 8.5M iko Dodoma

Good Neighbour

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
942
Reaction score
897
CAR FOR SALE

MAKE ; Toyota

MODEL ; Prado

COLOUR ; Silver

Cc ; 2690

YEAR ; 1999

NUMBER ; C

ENGINE ; 3RZ

PISTON ; Four

IMPORTED YEAR ; 2013

MODE OF TRANSMISSION ; automatic

FUEL USE ; Petrol

PRICE ; 8,500,000/=(sipunguzi bei)

NB : THE CAR IS AVAILABLE FOR IMMEDIATE

SALE -Gari iko Dodoma
-Gari haina tatizo lolote njoo na fundi wako akague tufanye biashara

-Full documents
+255767833496
+255622111186

MREJESHO

Asanteni sana wana-JF nimekwishaiuza na mteja kapatikana humu humu JF.Kwa walio ikosa poleni,haikuwa bahati.
Viva JF
 
20 yrs!!! Ungeigawa hata kwa Tshs 1,500,000.00 ingependeza zaidi.
 
Hii kadi ni photocopy mkuu, dom napo siku hizi kuna wajajnjaz kama dar
 
Yani madalali bwana ni watu wa ajabu sana

Hi prado nimeikuta Instagram inauzwa 10M

Hiyo Verossa nayo nimeikuta mahali kwa 5M

Hawaoni kama wanamharibia biashara bosi?Unaweza kuta hata hizi bei za hapa ni cha juu over cha juu..Cha juu hakikatazwi ila chain ya cha juu ikiwa kubwa inakula kwa muuzaji.
 
Hio laki 5 kwenye hio milioni nane ni cha juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…