Car4Sale Nimeamua kuigawa prado hii kwa bei ya 8.5M iko Dodoma

Car4Sale Nimeamua kuigawa prado hii kwa bei ya 8.5M iko Dodoma

Yani madalali bwana ni watu wa ajabu sana

Hi prado nimeikuta Instagram inauzwa 10M

Hiyo Verossa nayo nimeikuta mahali kwa 5M

Hawaoni kama wanamharibia biashara bosi?Unaweza kuta hata hizi bei za hapa ni cha juu over cha juu..Cha juu hakikatazwi ila chain ya cha juu ikiwa kubwa inakula kwa muuzaji.
Madalali muda mwingine wanachangia kuchelewesha.nimekwishaiuza 8.5m kwa mteja kupitia humu humu JF
Asante JF
 
Back
Top Bottom