Nimeamua kujifunza Python programming


machine learning mme master kweli concepts kama graph theory,bayesian reasoning, optimazation techniques, traditional algorithms time and space complexity analysis, mathematical proof techniques, discrete probability au ndo wale wale mnadandia kitu kikianza kuwa kigumu mnakikacha
 
kujua python haimanishi kuwa unaamka tu unaanza kusoma machine learning kama hauko vzuri utakutana na knowledge tree reprsentation huko mpaka utaona bora hurudi kwenye html na sql injection attacks πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚. Ila cyo mbaya cku hzi ni high level abstraction unaweza ukatumia tu libraries kama scipy learning unajua ni kizazi cha ma script kiddies ni mwendo wa ku run tu precompiled libraries
 
Si vyema kuwakatisha tamaa mkuu.
 
hizi ni technique za computer scientists zaidi...
 
Si vyema kuwakatisha tamaa mkuu.
mkuu cyo kwamba nataka kuwakatisha tamaa ila unajua wakianza na mambo hayo makubwa wanaweza wakaona vitu vigumu wakajikatisha tamaa wao wenyewe tukakosa talents hapa tz.
 
Dah, tulishaanzisha forum special ya Bongo ila kuna muskheli ukatokea (ushirikiano wa kibongo shida). Hopeful itarudi permanently kabla ya mwaka huu kuisha, with or without same domain.
Dah i was about ask this..



Kumbe uliipiga chini, but if you need any help i would love to help, kuna soln nilikuwa naifatilia mule basi tena.
 
Dah i was about ask this..



Kumbe uliipiga chini, but if you need any help i would love to help, kuna soln nilikuwa naifatilia mule basi tena.
Mmoja kati ya Co-founders alituchoma kisu cha mgongo, project ikafia pale. Ila Itarudi tena Mungu akipenda. Badala ya kuendeshwa na developers wenyewe nataka niwe sole owner ili yasitokee yaliyotokea.

Ushirikiano wa kibongo unakuta kuna Yuda ndani...hatari!
 

Site ilikua na muelekeo hiyo, nimeijaribu hata mimi kama five times nikajua mmeipotezea moja kwa moja. Kama shida ni server nina cloud server kibao AWS na DigitalOcean unaweza tumia moja ukahost bila shida.
 
Hii ilikuwa project gani mdau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…