Nimeamua kujinyonga, kwaherini wana JF

Nimeamua kujinyonga, kwaherini wana JF

Nimejaribu kutafakari baba mzazi anawezaje kumlawiti mwanae?
Sidhani kama mama mzazi anaweza kuingiliwa kimwili na mwanae!
Hee hii dunia ina mambo ,hivi hujaskia kuna jamaa amezaa na mama yake mzazi na anaishi nae kama mke na mume na mama anasema/anajisifu hajawahi pata mwanaume kama mtoto wake ,hii sijui ilikua Mtwara au Lindi sina kumbukumbu sahihi
 
Lol[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hili jibu nalo lilikuwa kiboko
Haha acha tu ndugu yangu kuna vitu tunavifanya wanadamu mpaka mwenyewe unaona kabisa hili jaribu hata Mungu atalikimbia ila kwa vile yeye yupo juu ya vitu/ viumbe vyote na yeye ndie muweza wa yote tunamkabidhi tu
 
Hee hii dunia ina mambo ,hivi hujaskia kuna jamaa amezaa na mama yake mzazi na anaishi nae kama mke na mume na mama anasema/anajisifu hajawahi pata mwanaume kama mtoto wake ,hii sijui ilikua Mtwara au Lindi sina kumbukumbu sahihi
Mhhhhhh kweli dunia imevaa sketi!
Sijawahi sikia na bora sikusikia huo ufirauni!
 
Usisahau kumwaga pombe chini alafu Rest in Peace...
 
Msalimie Baba wa taifa mwalimu nyerere mwambie kuwa Tanzania imekuwa shamba la bibi mzee wa msoga amelivuna mpaka kachoka....

Pia naheshimu sana sana uamuzi wako kama wa Jecha na ninataman ungekuwa jecha
 
Hivi jamani kunywa sumu ya panya ndo kujinyonga??na kutumia katani ni kufanyaje hii kali!??
 
Kwa hiyo teyari amesha kufa au bado??

Hapana dadaa, karuka kamba yake. Kumbe alikuwa anatafuta msaada baada ya kukataliwa na watu wote pale mtaani kwetu. Sasa, kasema kaokoka na huo mchezo hafanyiwi tena. Hata weye amekushukuru kwa kumchangia mawazo
 
Hee hii dunia ina mambo ,hivi hujaskia kuna jamaa amezaa na mama yake mzazi na anaishi nae kama mke na mume na mama anasema/anajisifu hajawahi pata mwanaume kama mtoto wake ,hii sijui ilikua Mtwara au Lindi sina kumbukumbu sahihi
Ilitokea songea mkuu
 
Ndo mana wakati mwingine huwa sipendi kuangalia thread kama hizi
 
Du! Pole sana nadhani ungevuta subira kidogo kufa sio solution.!
 
Back
Top Bottom