Hee hii dunia ina mambo ,hivi hujaskia kuna jamaa amezaa na mama yake mzazi na anaishi nae kama mke na mume na mama anasema/anajisifu hajawahi pata mwanaume kama mtoto wake ,hii sijui ilikua Mtwara au Lindi sina kumbukumbu sahihiNimejaribu kutafakari baba mzazi anawezaje kumlawiti mwanae?
Sidhani kama mama mzazi anaweza kuingiliwa kimwili na mwanae!
Haha acha tu ndugu yangu kuna vitu tunavifanya wanadamu mpaka mwenyewe unaona kabisa hili jaribu hata Mungu atalikimbia ila kwa vile yeye yupo juu ya vitu/ viumbe vyote na yeye ndie muweza wa yote tunamkabidhi tuLol[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hili jibu nalo lilikuwa kiboko
Mhhhhhh kweli dunia imevaa sketi!Hee hii dunia ina mambo ,hivi hujaskia kuna jamaa amezaa na mama yake mzazi na anaishi nae kama mke na mume na mama anasema/anajisifu hajawahi pata mwanaume kama mtoto wake ,hii sijui ilikua Mtwara au Lindi sina kumbukumbu sahihi
Ndio hivyo mama ukistaajabu ya Musa unakutana na ya FirauniMhhhhhh kweli dunia imevaa sketi!
Sijawahi sikia na bora sikusikia huo ufirauni!
Kwa hiyo teyari amesha kufa au bado??
Ilitokea songea mkuuHee hii dunia ina mambo ,hivi hujaskia kuna jamaa amezaa na mama yake mzazi na anaishi nae kama mke na mume na mama anasema/anajisifu hajawahi pata mwanaume kama mtoto wake ,hii sijui ilikua Mtwara au Lindi sina kumbukumbu sahihi
Asante MkuuIlitokea songea mkuu
Alikuwa online 11.50amdah kama ni kweli inasikitisha sana