Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
<br />Karibu kwenye chama cha kujipenda ulichelewa wapi wewe
Baada ya kuwa na aina tofauti tofauti za uhusiano nikitafuta furaha na ule upendo wa wawili ,nimeishia kuvuruga hata ile furaha nliyokuwa nayo !nachukua likizo fupi ya kujipenda let me see if i will find that happiness by entertain myself !
True lazima ujue kujipa raha hapo unaweza kuwapa na wengine,ulitakiwa uanze kujipenda mwenyewe kabla ya kumpenda mwingine....
how can you make someone happy.if you are not happy ?????
Umeongea vizuri sana kipipiPoleeeee.........! Ndo mapito menyewe hayo, maadam umeshatambua kuwa furaha yako i mikononi mwako basi bila shaka utaruhusu yale yakupayo amani na moyo wako utakuwa na furaha! Haina haja ya kujipa mastress, kuhuzunika au hata kuwa-hate wale waliokutenda for utakuwa unaidhurumu nafsi yako bure! Dunia hii usitegemee kila uliyeridhika nae basi lazima nae atakuridhisha, ikitokea unashukuru Mungu na ukikosa pia usihuzunike. Just love urself and always be happy!
haaaaa haaaaaa haaaaa,umenichekesha kweli.huko unakokuwazia usikuwazie kabisakama sio kuona comments za watu nlikuwa naanza kuwazia vibaya hii thread.