BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
kama sio kuona comments za watu nlikuwa naanza kuwazia vibaya hii thread.
Hahahahahah lol! Bora comments za watu zimeondoa dhana hasi uliyokuwa nayo kuhusiana na hii thread.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama sio kuona comments za watu nlikuwa naanza kuwazia vibaya hii thread.
Baada ya kuwa na aina tofauti tofauti za uhusiano nikitafuta furaha na ule upendo wa wawili ,nimeishia kuvuruga hata ile furaha nliyokuwa nayo !nachukua likizo fupi ya kujipenda let me see if i will find that happiness by entertain myself !