BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Sep 18, 2011 #21 Change_it said: kama sio kuona comments za watu nlikuwa naanza kuwazia vibaya hii thread. Click to expand... Hahahahahah lol! Bora comments za watu zimeondoa dhana hasi uliyokuwa nayo kuhusiana na hii thread.
Change_it said: kama sio kuona comments za watu nlikuwa naanza kuwazia vibaya hii thread. Click to expand... Hahahahahah lol! Bora comments za watu zimeondoa dhana hasi uliyokuwa nayo kuhusiana na hii thread.
nyumba kubwa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 10,309 Reaction score 8,379 Sep 18, 2011 #23 Kujipenda mwenyewe ni muhimu lakini "safety first" Safety last said: Baada ya kuwa na aina tofauti tofauti za uhusiano nikitafuta furaha na ule upendo wa wawili ,nimeishia kuvuruga hata ile furaha nliyokuwa nayo !nachukua likizo fupi ya kujipenda let me see if i will find that happiness by entertain myself ! Click to expand...
Kujipenda mwenyewe ni muhimu lakini "safety first" Safety last said: Baada ya kuwa na aina tofauti tofauti za uhusiano nikitafuta furaha na ule upendo wa wawili ,nimeishia kuvuruga hata ile furaha nliyokuwa nayo !nachukua likizo fupi ya kujipenda let me see if i will find that happiness by entertain myself ! Click to expand...