Nimeamua kujishusha na kufungua biashara ya mkaa

Zote hizo ni Janja ambazo mw

Endeleeni kumdanganya mwenzenu, Mimi nilidhani utabisha kwamba hahitaji kubali kumbe ni kuficha, itaweza ficha mkaa kweli ili Hali utaleta na gari na kushusha, stoo umekodi narudia tena litakuwa suala la muda Tu na atalia
 
Hongera mkuu, Safari moja huanzisha nyingine.
 
Usiogope mkuu watu wanafanya hivyo miaka nenda rudi na hakuna baya lolote,hii nchi ukijifanya we ni mzalendo kila tozo na ushuru unatoa utakufa masikini,we hujiulizi mbunge wako anaenda kusinzia bungeni na mwisho wa siku hela yake yote anapewa hakatwi hata senti!!!? JIONGEZE
 
Naomba unitajie biashara class na za kisomi zilizokufelisha chief
 
Vibari garama zake ni almost hasara tupu,I did it.
Kuna msemo unasema ukitaka kura nyama porini kura na simba.ili uweze kufanya biashara kwa urahisi Fanya ufanyavyoweza pata urafiki na wakubwa wa misitu au wa wilaya husika.

Harafu sizome sheria zote zinazohusu hio biashara uwe deep na mwisho usikubali kiurahisi kuporwa mkaaa never ever
 
Inasemekana kuwa hakuna aliyewahi kufanikiwa katika biashara ya mkaa, hii imekaaje?

Aliyewahi kufanikiwa aje atoe ushuhuda ili na sisi tuingie kwenye biashara.
 
Upo mkoa gani?
 
 
Kuuza mkaa siyo kujishusha. Mbona ni biashara nzuri tu? Mkaa uzuri wake unatumiwa na wote regardless ana jiko la gesi au umeme atahitaji mkaa tu. Isitoshe ni bidhaa isiyooza na hata ukilowa maji utaanikwa na bado utaingia sokoni. Hongera sana.
 
Mitazamo hii iliundwa na jamii, ikawanyima watu wengi kupiga pesa na kubaki wakigalagala na shida zao mtaani,
 
Sihitaji vibali cz nanunua kwa wanaoleta mjini....mimi ni kuuza jumla na reja kwenye goli nilio plan kuuzia. Vibali hao wanaoleta ndio watakata. (If I’m Being Right Tho)
Mkuu futa huo mstari wa kwanza wa hii comment yako,utapotosha wengine.

Gharama za usajili zinamhusu mvunaji wa kwanza,mbebaji/msafiri na mpaka wewe muuzaji wa mwisho.

Kama unataka kufanya biashara yako kwa amani na tusisumbuane,naomba uende ofisi ya TFS ukajisajili.
 
Vip Vipi mkuu ulishaanza biashara?
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji38]Kuna watu wanachekesha sana humu JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…