OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
Kwa nn hukuripotiMbao wachawi wamemzika mbuzi mzima pale katikati ya uwanja juzi usiku kabla ya mechi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nn hukuripotiMbao wachawi wamemzika mbuzi mzima pale katikati ya uwanja juzi usiku kabla ya mechi
Mbao wachawi wamemzika mbuzi mzima pale katikati ya uwanja juzi usiku kabla ya mechi
Ilitakiwa umuunge mkono Mwenyekiti Wa timuMbao zimekaza wakuu,hivyo isiwe taabu Leo najiuzulu rasmi ushabiki wa Yanga.Lengo ni kuunga mkono juhudi za mbao ambazo nasi ndizo tulizozitaka
demigod halloooo mkuu network inasumbua?
Kupenda ni hiari ya mtu. Hakuna anayelazimishwa nini apende, lini, vipi na wapi. Endelea kupenda ulichoamua kupenda, lakini usiwahoji wengine kwa nini wanaprnda wanachopenda. Kama wa Mwanza ni haramu kupenda cha Dar, vipi Watanzania wanaopenda vya Ulaya? Kwa hivyo masafa, nasabu wala asili havipaswi kuwa ndio sababu ya mtu kupenda apendacho. Wache wengine wapende wavipendavyo ili nawe wasikubughudhi kupenda upendacho. Ila tukumbuke tu kwamba duniani hakijaumbwa wala hakitaumbwa kizuri kisicho kasoro. Kwa hivyo hata hicho ukipendacho nacho hakijakosa wala hakitakosa dosari. Tena inawezekana ni nyingi na kubwa kuliko za hicho unachokichukia.Nami pia nilitamani kuanzisha uzi kuhusu ushindi wa Mbao dhidi ya Yanga.
Ukweli sisi watu wa Mwanza ni watu tunaoamini tunaishi katika mji mashuhuri hivyo tunaamini tunaweza kuwa na kila kitu japo nyuma kidogo ya Dar sasa linapokuja swala la soka sisi kuwa watumwa wa timu za Dar hili hunishangaza sana.
Miaka ya nyuma tulipokuwa na Pamba nusu ya washabiki wa soka wa hapa tulikuwa wafuasi wa Pamba na timu za Dar ziligawana ile nusu iliyobaki eti leo Mbao ya hapa inaisambaratisha timu ya Dar alafu nashangaa nusu ya mashabiki wa soka wa hapa wanatembea kama wamenyeshewa mvua huo ni upumbavu wa hari ya juu, si waende tu kule Dar wakasaidiane na wenzao kuwa wanajaza uwanja.
Binasfi sitokaa niziunge mkono timu za Dar na timu yao ya taifa stars/ kilimanjaro stars kama haina sura ya vilabu vyote vya ligi kuu bara.
Eti huwa mnanchukuwa hao wa Dar kwakuwa ndio huonekana kulijua soka sasa toka muanze kuwa mnawachukua hao mmeshapata mafanikio yapi katika medani za kimataifa. Sibora mgekuwa mnachukua kutoka vilabu karibu vyote ili tunavyokuwa tunaambulia vichapo tuwe nanajisikia tumefungwa wote kuliko hivi inavyokuwa mmefungwa nyinyi.