Inasemekana huyu bwana elnino hayuko hai kwa sasa. Akipata hasara kubwa msimu wa kwanza tu akaamua kujinyonga. Chezea kilimo wewe!MR Mambo vipi baada ya kusoma hili andiko lako nimeshawishika nikuulize kuuhusu hili kwa sasa unaweza mshauri nini mtu anayetaka kuwekeA katika kilimo kwa xbbu sasa naamini ujuzi na uzoefu wa kutosha unao
Si kweliInasemekana huyu bwana elnino hayuko hai kwa sasa. Akipata hasara kubwa msimu wa kwanza tu akaamua kujinyonga. Chezea kilimo wewe!
Kilimo unaweza kuvuna mqvuno mengi ukakosa, ama soko likawepo lkn mazao yakagoma. Hapo bado siasa haijaingilia kati.
Thread ya kitambo sana hii huwainalala na kufufuka. Kwasasa mahindi andaa laki6 kwa kila ekaHiyo 5m ndio ilisimamia operation ya shamba kwa kipindi chote? Haikupungua kwa hizo hekari 50.
mkuu una uzoefu wa kulima maharage?Mahindi.
Bora nilime Maharage.
Ukichagua mbegu bora ya Maharage hukosi Soko.
Mahindi yalisha nikatisha tamaa ya kulima.
Tatizo ni Soko
Nakuelewa kwa hizi numbersSahihi kabisa, hasa kwa mahindi. Sjuwi aliko, lakini sehem nyingi hiyo 5m ni eka kumi tu za mahindi, uvuna saaana gunia 400 za 100kg. Umepata bei nzuri saana mwaka huo 1200/kg. Kwahiyo hata upate vipi huwezi kuikuta 50m. Sasa ondoa hiyo SAAANA weka mavuno ya wastani 25bags kwa eka, na uuze bei ya serikali mia7 kwa kg
Basi ina madini sanaThread ya kitambo sana hii huwainalala na kufufuka. Kwasasa mahindi andaa laki6 kwa kila eka
Sio vzr kumzushia mtuInasemekana huyu bwana elnino hayuko hai kwa sasa. Akipata hasara kubwa msimu wa kwanza tu akaamua kujinyonga. Chezea kilimo wewe!
Kilimo unaweza kuvuna mqvuno mengi ukakosa, ama soko likawepo lkn mazao yakagoma. Hapo bado siasa haijaingilia kati.
Hongera kwa Maamuzi mazuri, iwe soma kwangu, nitakutafuta kwa ushauri wa karibu baadae nijifunze kitu asante.Hongera sana EL kwa uamuzi wa busara. Ila nadhani hapo kwenye bold kwangu mm ni pazuri mno kuwa kweli (too good to be true) please please naomba upadefend.
Sasa we we unamtaji sisi tusie kua na mtaji tuanzajeJF
Hali ya uchumi ni ngumu sana kwa watu wote hasa tunategemea mwisho wa mwezi. Weekend nilijaribu kupiga hesabu za mishahara yangu in next 10 years....ooooooooooops hazikufika hata 500millions Tshs.
Kwa maneno mengine kama sintantafuta kitu mbadala mbali na mshahara wangu cha kufanya basi nishakufa maskini na sintakuwa na chochote cha kuwaachia wanangu.
Maisha ni magumu sana kadri siku zinavyoenda mbele, sasa nimeamua kuanza kilimo kwa mara ya pili, awamu hii natumia mshahara wangu kama mtaji, nimewaambia kwa mara ya pili sababu kilimo cha kwanza nilifanya pamoja na wazazi wangu hadi nilipomaliza form four miaka hiyo, hicho hakikuwa na manufaa yeyote sababu ya mtaji na ufahamu.
Kwa sasa nimeanza na heka 50 ( 70m by 70m), nipo morogoro - pale Tuliani. Heka zote zimeshalimwa sasa tunapanda - nita expand my project up to 1,000 in next 3 - 5 years.
Makadirioni kwamba kila hekari average ni gunia 30, nitategemea kupata gunia 1500 za mahindi kutokana na hekari zangu za sasa 50. Kila gunia average selling price ni Tshs 60,000. kwa hiyo nitapata average Tshs 90m by July this year.
Running cost itakuwa approx 5m, so super profit ni 85m by July 2010.
Sasa 85m kwa mtu anayepokea sh 1million kwa mwezi ni mshahara wake wa miaka 7 na ushee-- teh teh teh teh
By next year nitaexpand to 200 hektas, nitalipima shamba langu na nijaribu kutafuta mikopo katika mabenki - or mbia toka SA au Zimbabwe. by 2015 wakati Dr Slaa anakuwa Rais wa nchi nitakuwa millionea. Sasa ole wenu mseme nimefanya ufisadi.
This is a challenge to you JF - hasa mnaopata less than 5m per month - think twice and join me.
Kumbuka shairi la darasa la nne - Kama mkitaka mali mtayapata shambani - huu ni wosia.
Af uinvest 5m, upate faida hata ya 80m! Ndani ya siku zisizozidi 120!!!
Kiasi gani Cha mbegu kinapanda na kutosha kwa eka moja mkuu?Thread ya kitambo sana hii huwainalala na kufufuka. Kwasasa mahindi andaa laki6 kwa kila eka
Kilo 8 hadi 10 ikiwa utapanda kwa nafasi ya 30x75Kiasi gani Cha mbegu kinapanda na kutosha kwa eka moja mkuu?