Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

MR Mambo vipi baada ya kusoma hili andiko lako nimeshawishika nikuulize kuuhusu hili kwa sasa unaweza mshauri nini mtu anayetaka kuwekeA katika kilimo kwa xbbu sasa naamini ujuzi na uzoefu wa kutosha unao
Inasemekana huyu bwana elnino hayuko hai kwa sasa. Akipata hasara kubwa msimu wa kwanza tu akaamua kujinyonga. Chezea kilimo wewe!

Kilimo unaweza kuvuna mqvuno mengi ukakosa, ama soko likawepo lkn mazao yakagoma. Hapo bado siasa haijaingilia kati.
 
Inasemekana huyu bwana elnino hayuko hai kwa sasa. Akipata hasara kubwa msimu wa kwanza tu akaamua kujinyonga. Chezea kilimo wewe!

Kilimo unaweza kuvuna mqvuno mengi ukakosa, ama soko likawepo lkn mazao yakagoma. Hapo bado siasa haijaingilia kati.
Si kweli
 
Wakuu nauliza kwa Ardhi ya Muheza Tanga zao gani lina muitikio mzuri kwa ile ardhi ? Vipi maharage yanastahimili ardhi ile?
 
Sahihi kabisa, hasa kwa mahindi. Sjuwi aliko, lakini sehem nyingi hiyo 5m ni eka kumi tu za mahindi, uvuna saaana gunia 400 za 100kg. Umepata bei nzuri saana mwaka huo 1200/kg. Kwahiyo hata upate vipi huwezi kuikuta 50m. Sasa ondoa hiyo SAAANA weka mavuno ya wastani 25bags kwa eka, na uuze bei ya serikali mia7 kwa kg
Nakuelewa kwa hizi numbers
 
Ni kilimo cha kutegemea mvua ya Mungu au umwagiliaji? Ili uwe na uhakaki jizatiti na umwagiliaji. Kuna jamaa alikopa na kulima maharage, kulichotokea sitaeleza kwani ni masikitiko.
 
Inasemekana huyu bwana elnino hayuko hai kwa sasa. Akipata hasara kubwa msimu wa kwanza tu akaamua kujinyonga. Chezea kilimo wewe!

Kilimo unaweza kuvuna mqvuno mengi ukakosa, ama soko likawepo lkn mazao yakagoma. Hapo bado siasa haijaingilia kati.
Sio vzr kumzushia mtu
Last seen july mwaka jana,kafa lini?
Maana km hasar alipata zamani huko ndo aje ajinyongw last yr?😀🤔
 
Hongera sana EL kwa uamuzi wa busara. Ila nadhani hapo kwenye bold kwangu mm ni pazuri mno kuwa kweli (too good to be true) please please naomba upadefend.
Hongera kwa Maamuzi mazuri, iwe soma kwangu, nitakutafuta kwa ushauri wa karibu baadae nijifunze kitu asante.
 
JF

Hali ya uchumi ni ngumu sana kwa watu wote hasa tunategemea mwisho wa mwezi. Weekend nilijaribu kupiga hesabu za mishahara yangu in next 10 years....ooooooooooops hazikufika hata 500millions Tshs.

Kwa maneno mengine kama sintantafuta kitu mbadala mbali na mshahara wangu cha kufanya basi nishakufa maskini na sintakuwa na chochote cha kuwaachia wanangu.

Maisha ni magumu sana kadri siku zinavyoenda mbele, sasa nimeamua kuanza kilimo kwa mara ya pili, awamu hii natumia mshahara wangu kama mtaji, nimewaambia kwa mara ya pili sababu kilimo cha kwanza nilifanya pamoja na wazazi wangu hadi nilipomaliza form four miaka hiyo, hicho hakikuwa na manufaa yeyote sababu ya mtaji na ufahamu.

Kwa sasa nimeanza na heka 50 ( 70m by 70m), nipo morogoro - pale Tuliani. Heka zote zimeshalimwa sasa tunapanda - nita expand my project up to 1,000 in next 3 - 5 years.

Makadirioni kwamba kila hekari average ni gunia 30, nitategemea kupata gunia 1500 za mahindi kutokana na hekari zangu za sasa 50. Kila gunia average selling price ni Tshs 60,000. kwa hiyo nitapata average Tshs 90m by July this year.

Running cost itakuwa approx 5m, so super profit ni 85m by July 2010.

Sasa 85m kwa mtu anayepokea sh 1million kwa mwezi ni mshahara wake wa miaka 7 na ushee-- teh teh teh teh

By next year nitaexpand to 200 hektas, nitalipima shamba langu na nijaribu kutafuta mikopo katika mabenki - or mbia toka SA au Zimbabwe. by 2015 wakati Dr Slaa anakuwa Rais wa nchi nitakuwa millionea. Sasa ole wenu mseme nimefanya ufisadi.

This is a challenge to you JF - hasa mnaopata less than 5m per month - think twice and join me.

Kumbuka shairi la darasa la nne - Kama mkitaka mali mtayapata shambani - huu ni wosia.
Sasa we we unamtaji sisi tusie kua na mtaji tuanzaje
 
Post imeingiliwa na watot wa 2k
Angalien ilipostiwa mwaka gan na hiyo 5m kwa kipindi hicho ilikuwa na thaman kiasi gan achen kubeza maskin wezangu
 
Hivi mbegu ya mahindi kiasi gani inatosha kwa hekari moja?
 

🌱Group hili nikwa wakulima WA miti ya mitiki.

🌱Lengo Nikupeana ushauri juu ya upandaji na uvunaji pamoja na changamoto mbali mbali zinazolenga maswala ya miti.

🌱Pia Nikujua masoko ya ndani na nnjee.
 
Back
Top Bottom