Nimeamua kumdelete kabisa Floyd mayweather kwenye Instagram yangu

Jamaa anachezeachezea hela kizembe zembe kwa kugawa hovyo hovyo kwa mademu na watu potential kama mimi ambitious na wenye business plans za hatarii tikiwezeshwa can make a very big difference in the employment field
Hahahahahah! Unaambiwa masikini wote huwaona wenye fedha wanazichezea na kuzitumia hovyo na wao huhisi wanaweza wakawa na mipango mizuri na yamanufaa, Ajabu sasa hiyo mipango yao haiwapi pesa wakazitumia ipasavyo.
 
Halafu watu hawa mwisho wao unakuwaga mbaya sana, Mike Tyson analalamika sasa hivi eti anasikitika hakusaidia watu wakati ule.
 
Mimi ni agent wa Floyd Mayweather hapa bongo ,nitafikisha malalamiko yako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vyuma buana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…