Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahah! Unaambiwa masikini wote huwaona wenye fedha wanazichezea na kuzitumia hovyo na wao huhisi wanaweza wakawa na mipango mizuri na yamanufaa, Ajabu sasa hiyo mipango yao haiwapi pesa wakazitumia ipasavyo.Jamaa anachezeachezea hela kizembe zembe kwa kugawa hovyo hovyo kwa mademu na watu potential kama mimi ambitious na wenye business plans za hatarii tikiwezeshwa can make a very big difference in the employment field
Halafu watu hawa mwisho wao unakuwaga mbaya sana, Mike Tyson analalamika sasa hivi eti anasikitika hakusaidia watu wakati ule.Usitegemee a selfish and arrogant person like him atoe msaada, ulishawah kuona wapi hata akitoa msaada kwa jamii, jiulize mfano tajiri Jeff bezos wa Amazon anakua na show off za kijinga kama hizo zake ? Pamoja na kwamba ana pesa ndefu sana
Mtu mwenye akili timamu huwez kumfollow mtu kama huyo.
Mimi ni agent wa Floyd Mayweather hapa bongo ,nitafikisha malalamiko yako.Mzuqa wanajamvi!
Yani Meiweza anakera sana. Toka 2016 nilikuwa nafiziaga posti zake yani akiposti tu na mimi wa kwanza kulike na kukoment mfululizo kama mara mia maneno yaleyale. Floyd my brother please give me a loan of one million dollars i will return to you slowly after one year when i establish my business which will employ more than 20 people. Am your die hard fan for life!
Lakini cha kusikitisha comment zangu anafuta. Kuna rafiki yangu akaniambia watu wenye status kama akina floyd wameajiri watu maalum wanaosimamia account yake ya insta ila sikukata tamaa nikawa navizia tu posti zake mpya jamaa ananignore.
Leo nikasema this is bullshit nikaamua kumdelete kabisaView attachment 1173475