Nimeamua kumpenda "lumpen" ili mradi ana via vya uzazi

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Nimewachoka hawa limbukeni wanaojiita wasomi. Bahati nzuri nimepata huyu asiyejua mengi, aliyejaa utu, utii na ubinadamu.

Akiombwa anatoa, akiambiwa anasikiliza na akibembelezwa anabembelezeka. Usaliti kwake ni zaidi ya dhambi....yaani ni mwiko.

Hajui mengi hivyo hajali mengi, maana wahenga wanasema "kujua mengi nako ni chanzo cha matatizo mengi".

Najisikia raha na faraja kwa huyu kiumbe japo hana kitu zaidi via vya uzazi.

Wasalaam!
 
hongera, ila sio mwisho wa changamoto ulijue. tutupiamo na upicha.
 
Sawa pewa hela ukanunue dagaa na mchele au maharage na mchele.
 
Nimewachoka hawa limbukeni wanaojiita wasomi. Bahati nzuri nimepata huyu asiyejua mengi, amliyejaa utu, utii na ubinadamu.

Akiombwa anatoa, akiambiwa anasikiliza na akibembelezwa anabembelezeka. Usaliti kwake ni zaidi ya dhambi....yaani ni mwiko.

Hajui mengi hivyo hajali mengi, maana wahenga wanasema "kujua mengi nako ni chanzo cha matatizo mengi".

Najisikia raha na faraja kwa huyu kiumbe japo hana kitu zaidi via vya uzazi.

Wasalaam!
Yaaan kwa kifupi yeye anapumua tuu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Alaf wakati tunawasubiri waje naomba dj awalete na ile nyimbo ya Prof Jay nikusaidieje

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nimewachoka hawa limbukeni wanaojiita wasomi. Bahati nzuri nimepata huyu asiyejua mengi, amliyejaa utu, utii na ubinadamu.

Akiombwa anatoa, akiambiwa anasikiliza na akibembelezwa anabembelezeka. Usaliti kwake ni zaidi ya dhambi....yaani ni mwiko.

Hajui mengi hivyo hajali mengi, maana wahenga wanasema "kujua mengi nako ni chanzo cha matatizo mengi".

Najisikia raha na faraja kwa huyu kiumbe japo hana kitu zaidi via vya uzazi.

Wasalaam!
Hapo cha muhimu kwako ni via vya uzazi tu?
 
Wanawake wa aina hii wanapatikana wapi jmn sikuwahi kutaman kuishi na mwanamke ambaye nikitoka kwenda kutafta na yy anatoka kwenda kutafutatukirudi wote tumechoka hata wa kumhudumia meenzake hayupo
 
Back
Top Bottom