Yaaan kwa kifupi yeye anapumua tuuNimewachoka hawa limbukeni wanaojiita wasomi. Bahati nzuri nimepata huyu asiyejua mengi, amliyejaa utu, utii na ubinadamu.
Akiombwa anatoa, akiambiwa anasikiliza na akibembelezwa anabembelezeka. Usaliti kwake ni zaidi ya dhambi....yaani ni mwiko.
Hajui mengi hivyo hajali mengi, maana wahenga wanasema "kujua mengi nako ni chanzo cha matatizo mengi".
Najisikia raha na faraja kwa huyu kiumbe japo hana kitu zaidi via vya uzazi.
Wasalaam!
Alaf wakati tunawasubiri waje naomba dj awalete na ile nyimbo ya Prof Jay nikusaidiejeNimewachoka hawa limbukeni wanaojiita wasomi. Bahati nzuri nimepata huyu asiyejua mengi, amliyejaa utu, utii na ubinadamu.
Akiombwa anatoa, akiambiwa anasikiliza na akibembelezwa anabembelezeka. Usaliti kwake ni zaidi ya dhambi....yaani ni mwiko.
Hajui mengi hivyo hajali mengi, maana wahenga wanasema "kujua mengi nako ni chanzo cha matatizo mengi".
Najisikia raha na faraja kwa huyu kiumbe japo hana kitu zaidi via vya uzazi.
Wasalaam!
Hapo cha muhimu kwako ni via vya uzazi tu?Nimewachoka hawa limbukeni wanaojiita wasomi. Bahati nzuri nimepata huyu asiyejua mengi, amliyejaa utu, utii na ubinadamu.
Akiombwa anatoa, akiambiwa anasikiliza na akibembelezwa anabembelezeka. Usaliti kwake ni zaidi ya dhambi....yaani ni mwiko.
Hajui mengi hivyo hajali mengi, maana wahenga wanasema "kujua mengi nako ni chanzo cha matatizo mengi".
Najisikia raha na faraja kwa huyu kiumbe japo hana kitu zaidi via vya uzazi.
Wasalaam!
Duuh!Kama anatako atakusumbua TU maana karne hii tako ni zaidi ya masters
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app