Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

Fanya mambo mengine, mambo yake muachie mwenyewe...
 
Naona mnacheza mchezo wa hide n seek...all the best
 
Tatizo sasa wewe haushauriki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
I miss you much more eti
Sasa ile pisi kali nikiona tuu macho yake na ile sexy cleavage mie sina nguvu ya kumbwaga.
 
Safii japo ulitakiwa umuignore baada ya kuzingua ile ya kwanza au yapili
 
Bwana Bwana....ilinitokea 2016 mkaka tumekutana kazini uko tukawa na urafiki cm, kuchati mpaka saa 7 usiku mpaka ikafikia hatua ukisafir nisipiomuambia kesi analalamika...akifanya kitu bila kuniambia nanuna nabembelezwa baraa...
Nikaja fanya mchezo kama wako oooh naona tunazoeana sana bora tuwe mbali blah blah kibao,
Akafunga safari kuja kunibembeleza mama nini shida?? Bembelezwa mpaka usiku na kuliwa juuuu
Mpaka sasa ni mume wangu ila hana upendo na mimi ule wa dhati ni alipenda nilivyompambanaji tu
Na anasema yeye alikua anachukulia kama urafiki tu wa kawaida
 
Mtafute mwambie aje kula mbususu, lazima atakuja mbio na kwa Mapenzi yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…