Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

Kabisaaa....mwendo wa kunisusia mbususu tuu ndio nachotaka. Ukiamua kupeleka lwa mwengine wee peleka tuu sii mali yako bwana kama mie vile ninavyopeleka kibamia changu kwa mbususu zingine

Hicho kibamia unakisema sana, ebu tuone niangalie km kweli kibamia [emoji85]
 
1. Angalia wanao.
2. Tafakari aibu kwa wazazi wako.
3. Angalia uthamani wa ndoa yako.
4. Fuatilia story za wasaliti (ujuta)

Halafu fanya maamuzi, ashakulegeza huyo na ameshalala na wewe, anajua hauna ujanja tena.

Sijui mtu ana samehe vipi usaliti, imagine huyu ndo mke wako anaelezea mwanaume hivi, mpaka kumpikia?
Mkuu huu ushauri wako umeotoa kwa uchungu sana dah, ila vitu hivi vinatia hasira sana ndo maana mauaji ya kimapenzi hayaishi siku hizi, am sure mme wake wake akijua ameisha, bora akatishe huo ujinga sasa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya kipuuzi,sijui ni ignore kama yule jamaa mwehu wa dislike[emoji57][emoji57]
 
Wakuu nilipata rafiki wa kiume, yeye ameoa na mimi nimeolewa ila familia zetu wote wapo mbali tumekutana mkoa mmoja, tukaanza urafiki mpaka ile stage ya kubebishana mara pika nije kula na kudekezana.

Nikaanza kuona hapa nikileta ujinga tutaingia kwenye mahusiano, na mtu mwenyewe jamaa anaonekana ana mambo mengi. Basi leo tukachuniana tangu asubuhi, jioni hii nikamwambia I miss you, akaajibu thanx madam[emoji849].

Eeh pozi likaniishia nikasema any way acha nimchane, nikamwambia naomba urafiki wetu uishie na maneno mazuri mazuri ya kumtia moyo, nikajaza paragraph mwisho nikamwambia ntakumiss bye.

Jibu alilonipa sasa Good luck [emoji3]

Mimi kuona hivyo nikamtia block na kufuta namba zake juu.

Sasa hivi nimekaa hapa tayari nishamiss, najua na yeye pia atakua kanimiss lakini najua ujeuri wa wanaume anaweza akamute kimya.

Wakuu, Je nimekosea kumpotezea huyu rafiki yangu?
Cha msingi njoo kwangu
 
Una hulka za umalaya, na hii tabia ita cost watoto wako.
Je ukitokea mkewe akaona meseji zako, halafu mke mwenyewe Ni wale wa kwamsisi, si uta bleed mpaka mwakani!!
 
Back
Top Bottom