Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

Hujakosea 😀😀

Mihemko yako ndo ilifamya uone kama anakutaka… umejiskia vibaya kuona ye hayuko mawazo yako yalipo

Ukajipa moyo umuache as if mlikua kwenye mahusiano.

Mwenzako hana shida we ndo unatapatapa sasa

In short akirudi atakukula na urafiki hautaendelea utaumia kuliko sasa

Ila polee😉
Kwa lugha rahisi huyu atajibebisha mwenyewe -- then ataamua kuvua chupi mwenyewe, jamaa atakojoa na kusepa. Sema dizain kama alishakojolewa --- Andiko lake amelinyima "ukweli" fulani.
 
Wakuu nilipata rafiki wa kiume, yeye ameoa na mimi nimeolewa ila familia zetu wote wapo mbali tumekutana mkoa mmoja, tukaanza urafiki mpaka ile stage ya kubebishana mara pika nije kula na kudekezana.

Nikaanza kuona hapa nikileta ujinga tutaingia kwenye mahusiano, na mtu mwenyewe jamaa anaonekana ana mambo mengi. Basi leo tukachuniana tangu asubuhi, jioni hii nikamwambia I miss you, akaajibu thanx madam[emoji849].

Eeh pozi likaniishia nikasema any way acha nimchane, nikamwambia naomba urafiki wetu uishie na maneno mazuri mazuri ya kumtia moyo, nikajaza paragraph mwisho nikamwambia ntakumiss bye.

Jibu alilonipa sasa Good luck [emoji3]

Mimi kuona hivyo nikamtia block na kufuta namba zake juu.

Sasa hivi nimekaa hapa tayari nishamiss, najua na yeye pia atakua kanimiss lakini najua ujeuri wa wanaume anaweza akamute kimya.

Wakuu, Je nimekosea kumpotezea huyu rafiki yangu?
Mkataa pema pabaya panamuita
 
Wewe pika then mwite jamaa na akukute umeoga vizuriiii.Akifika tu tupa kanga kulee ubaki na kyupi tu halafu mwambie wali samaki ule pale kwa meza.Utaona vile siku itakuwa nzuri kwako
Abaki na khanga sema asivae kyupi. Wakati wanakula asogeze khanga kwa mbali ampe jamaa mwanya wa kuchungulia mavuzi.
 
Bwana Bwana....ilinitokea 2016 mkaka tumekutana kazini uko tukawa na urafiki cm, kuchati mpaka saa 7 usiku mpaka ikafikia hatua ukisafir nisipiomuambia kesi analalamika...akifanya kitu bila kuniambia nanuna nabembelezwa baraa...
Nikaja fanya mchezo kama wako oooh naona tunazoeana sana bora tuwe mbali blah blah kibao,
Akafunga safari kuja kunibembeleza mama nini shida?? Bembelezwa mpaka usiku na kuliwa juuuu
Mpaka sasa ni mume wangu ila hana upendo na mimi ule wa dhati ni alipenda nilivyompambanaji tu
Na anasema yeye alikua anachukulia kama urafiki tu wa kawaida
Dah umenchkesha eti upendo si kiivyo.utengeneze uwepo maana ashkuwa mme wako

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Jamaa atarudi kwa speed ya 4G kula tunda lako na kusepa,hakika utaumia Sana.
 
Acha umalaya kenge wewe... Halafu huna maajabu ungekua pisi kali jamaa asingekuacha....
 
Kwa lugha rahisi huyu atajibebisha mwenyewe -- then ataamua kuvua chupi mwenyewe, jamaa atakojoa na kusepa. Sema dizain kama alishakojolewa --- Andiko lake amelinyima "ukweli" fulani.
Kunywa soda nikuje kulipa
 
Ahahahah
Umeona mkuu. Wanawake wana mindset flan selfish sana.
Yaani mkitiana wao ndio wanaona kama wametumika wakati nyote mmetumiana.
No wonder wanataka walipwe pia wakat ilibid kama vip mlipane!

Yaani wao wanaona kama ndio wanatoa huduma wakat na wewe unashiriki kuhudumu[emoji23][emoji23][emoji23] hawa viumbe shida!!!

Sasa mwanaume kufika kileleni ni lazima ila mwanamke ni probability

Hapo ndo shida ilipo[emoji2]
 
Wakuu nilipata rafiki wa kiume, yeye ameoa na mimi nimeolewa ila familia zetu wote wapo mbali tumekutana mkoa mmoja, tukaanza urafiki mpaka ile stage ya kubebishana mara pika nije kula na kudekezana.

Nikaanza kuona hapa nikileta ujinga tutaingia kwenye mahusiano, na mtu mwenyewe jamaa anaonekana ana mambo mengi. Basi leo tukachuniana tangu asubuhi, jioni hii nikamwambia I miss you, akaajibu thanx madam[emoji849].

Eeh pozi likaniishia nikasema any way acha nimchane, nikamwambia naomba urafiki wetu uishie na maneno mazuri mazuri ya kumtia moyo, nikajaza paragraph mwisho nikamwambia ntakumiss bye.

Jibu alilonipa sasa Good luck [emoji3]

Mimi kuona hivyo nikamtia block na kufuta namba zake juu.

Sasa hivi nimekaa hapa tayari nishamiss, najua na yeye pia atakua kanimiss lakini najua ujeuri wa wanaume anaweza akamute kimya.

Wakuu, Je nimekosea kumpotezea huyu rafiki yangu?
Hivi hili nalo ni la kuleta hapa Jukwaani?
 
Labda anahisi una UTI sugu, akimuwaza mkewe kiu inakata.
 
Back
Top Bottom