Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

Si bure ni dume zima linajifanya Manzi na kuanzisha Uzi

Takataka kabisa
 
Badala ya kutumia neno wamekulana eti wameliwa [emoji23]
Bwana wee wao ni kujifanya wanapoteza sanaaa kwa kuvua chupi kuliko sie wanaume wakati ukweli ni kuwa mwanaume ndio anatumia nishati kubwa mpaka game kumalizika pale kibo
 
Achana na vijana hao,njoo kwangu mstaafu uvune hekima,busara na pensheni pia mm sina cha kupoteza chochote utakacho kilicho ndani ya uwezo wangu nitakupa.
Karibu PM Madam.
 
Bwana wee wao ni kujifanya wanapoteza sanaaa kwa kuvua chupi kuliko sie wanaume wakati ukweli ni kuwa mwanaume ndio anatumia nishati kubwa mpaka game kumalizika pale kibo
Sio nishati tu mkuu, tunapoteza mpaka mbegu wakati wao yai lao wanabaki nalo.
Kwa hili wanaume tunaonewa sana, kwenye katiba mpya lazima na hili liwekwe.
 
Sio nishati tu mkuu, tunapoteza mpaka mbegu wakati wao yai lao wanabaki nalo.
Kwa hili wanaume tunaonewa sana, kwenye katiba mpya lazima na hili liwekwe.
🤣🤣🤣Umeongea kwa uchungu sana
 
Hujakosea 😀😀

Mihemko yako ndo ilifamya uone kama anakutaka… umejiskia vibaya kuona ye hayuko mawazo yako yalipo

Ukajipa moyo umuache as if mlikua kwenye mahusiano.

Mwenzako hana shida we ndo unatapatapa sasa

In short akirudi atakukula na urafiki hautaendelea utaumia kuliko sasa

Ila polee😉
Yani uko riiiiightttttt. Ataliwa ataumia vibaya sana. Ishieni tu hapo kila mtu achukue 50 zake
 
GT yryt gift
Wakuu nilipata rafiki wa kiume, yeye ameoa na mimi nimeolewa ila familia zetu wote wapo mbali tumekutana mkoa mmoja, tukaanza urafiki mpaka ile stage ya kubebishana mara pika nije kula na kudekezana.

Nikaanza kuona hapa nikileta ujinga tutaingia kwenye mahusiano, na mtu mwenyewe jamaa anaonekana ana mambo mengi. Basi leo tukachuniana tangu asubuhi, jioni hii nikamwambia I miss you, akaajibu thanx madam[emoji849].

Eeh pozi likaniishia nikasema any way acha nimchane, nikamwambia naomba urafiki wetu uishie na maneno mazuri mazuri ya kumtia moyo, nikajaza paragraph mwisho nikamwambia ntakumiss bye.

Jibu alilonipa sasa Good luck [emoji3]

Mimi kuona hivyo nikamtia block na kufuta namba zake juu.

Sasa hivi nimekaa hapa tayari nishamiss, najua na yeye pia atakua kanimiss lakini najua ujeuri wa wanaume anaweza akamute kimya.

Wakuu, Je nimekosea kumpotezea huyu rafiki yangu?
 
Nimekuvulia kofia veterani😅😅..sema nini, kuna mambo katika ujana mtu unafanya mpk ukija kutulia unasema hapa imetosha, hamna jipya duniani. Unyama mwingi sana mzee....salute
Tatizo vijana wa skuhizi hahwawi wakweli kwa wadada wanao kutana nao, na hapo ndipo tatizo linapo anzia.
Wanawake ni viumbe wazuri sana ikiwa anaingia kwenye ndoa yenye uwazi na itamfanya aishi kwa amani na furaha tele.
Minaonaga mfani hata hapa tu ndani, kijana u mdada akihitaji mahusiano lazima utamuona anakuja na ID mpya. Sasa swali ninali jiuliza ni wanaficha nini???
 
Back
Top Bottom