mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Mwaka huu 2/ 2022 jirani zangu walimpokea jamaa fulani tokea Kaskazini , niliambiwa amefika kwa ajili ya tiba na kuwasaidia mdogo mtu ( askari polisi aliyefutwa kazi na kaka mtu ambaye kwa mtazamo wangu ni mhanga wa madawa ya kulevya) , ninachokumbuka ni kuchinja kuku , kupasua nazi na kufanya ibada zao kwa kutumia kitabu kitakatifu cha wenzetu waislamu( siamini kama matumizi ya kitabu yalikuwa sahihi ,l)
Jumapili moja nikiwa kijijini kwetu alifika dada fulani ambaye mimi binafsi namfahamu ni mfanyakazi wa benki fulani pale Makambako, alipoondoka moja ya wapambe aliniambia yule dada ana jini mahaba hivyo hatongozwi na mwanaume yeyote, then alifanyiwa tiba(mimi ni mkiristo siamini , sijawahi kwenda kwa waganga ) then baada ya kusikia vile nilipoenda bank nilichuka contact za yule dada, then nilianza kuchat nae usiku na kumtongoza , but nilishia njiani kwa sababu niliogopa nisije kumla na nipatwe na matatizo ( tunambiwa jini mahaba huleta mikosi nk
Sasa leo simu imejipiga kwake then kapokea baada ya maongezi fulani nimemuliza una mpenzi au mchumba majibu ni nipo single nabaki najiuliza kweli yupo single , kama yupo single kwanin hadi sasa je nimle tu kumtolea mikosi
Kama yule mganga mkweli inakuwaje askari polisi hajarudi kazini na hajalipwa mafao yake, kaka mtu ndio kwanza anapotea, majirani waliofanya hizo sadaka ili mashamba yao yawe mazuri ,mbona shamba langu zuri kuliko wao?