Nimeamua Kumshtaki Mahakamani Mke Wangu Siku 5 Baada ya Harusi

Hypershulemia

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2021
Posts
275
Reaction score
841
Habari za zenu wana MMU,

Leo asubuhi nilileta bandiko, kwa mke wangu alinidanganya yeye ni bikra, lakini baada ya ndoa nilikuta hana bikra ni shimo lenye dilatation ya 4cm yani kama ni mjamzito aliyeko kwenye labor unafungua partograph kabisa!

Nimeamua jumatatu ya wiki ijayo naende kumfungulia mashtaka ya ulaghai na udanganyifu! Pia nataka nilipwe fidia ya gharama zote nilizotumia kwake.

Na baada ya hapo nampa talaka, wanawake ni wengi waliohifadhi bikra zao. Ni lazima nioe bikra!
 
Sema uhuru hii nchi mkubwa mno

Btw, wew ulicheat, ukalamba madem/wake za watu wa baadae, ila hutaki wako aliwe? Malipo hapa hapa duniani, ukipata bikira bodaboda watapita nae
 
Habari za zenu wana MMU,

Leo asubuhi nilileta bandiko, kwa mke wangu alinidanganya yeye ni bikra, lakini baada ya ndoa nilikuta hana bikra ni shimo lenye dilatation ya 4cm yani kama ni mjamzito aliyeko kwenye labor unafungua partograph kabisa!

Nimeamua jumatatu ya wiki ijayo naende kumfungulia mashtaka ya ulaghai na udanganyifu! Pia nataka nilipwe fidia ya gharama zote nilizotumia kwake.

Na baada ya hapo nampa talaka, wanawake ni wengi waliohifadhi bikra zao. Ni lazima nioe bikra!
Hii kesi hutashinda maana huna ushahidi, hujarekodi maneno yake na anaweza akakukana mahakamani.

It's a waste of time. We ishi naye huna namna.
 
Back
Top Bottom