Nimeamua kuolewa......

I wish ningekuwa nimezaliwa karne iliyopita labda haya nisingeona na kuyasikia,labda pengine pia siku za mwisho ndio hizi,ngoja nikeshe na kuomba maana sijui siku wala saa mwana wa adamu atakapo kuja

Kwanini lkn? Si bora kuchagua kind of marriage mtu anayotaka kuliko kuumizana?
 


"wrongly put" japo sijaombwa opinion.

NADHANI NAKUELEWA UTAKACHO ILA UMEPRESENT VISIVYO!!!!!!!!!!
 
Hapa nipagumu kumshauri madameb nahsi hakuna usirios hapa ngoja nichungulie akina kongosho waje
 
Kwanini lkn? Si bora kuchagua kind of marriage mtu anayotaka kuliko kuumizana?

Dada yangu mpenzi mzima wewe,sorry dada ndio natoka shamba saa hizi nimebeba kuni kwa ajili ya kuota moto jioni maana kipupwe nacho ndio hiki huku unyamwezini.Te te te te.

Back to topic,dada yangu hata mimi sijui kwa nini twaumizani kiasi hiki,it is just beyond me to be honest,labda kama nilivyosema kuwa ni siku za mwisho.Kwa hiyo kesha ukiomba dada yangu
 
Kama hakuna love inayohusika hapo kwanini si open marriage?

Kwanini siikubali open marriage ni kwa ajili ya maradhi, naona kama yatakuwa ni yale yale au?
 

Hujanisoma vizuri mtarajiwa 🙂 bali nilitaka sana kuwepo na mapenzi lakini naona siku hizi hicho kitu ni dreams tu.
 
Ili nishiriki vyema, naomba umtoe Nyani Ngabu kwanza kwenye list ya washauri nasaha, yeye kwenye ndoa nahisi hafai, bora ungemuweka kwenye business kulee.

Unanipa maamuzi magumu
 
Kwanini siikubali open marriage ni kwa ajili ya maradhi, naona kama yatakuwa ni yale yale au?

Then love lazima ihusike, kwani ndicho kitu pekee kinachoweza funga zipu za wanaume na kusababisha nyupi zetu zisiteremshwe!

La cheating iwe responsibly maana ya kukinga familia!
 
MadamX hujatuambia michango tuanze lini? sisi ambao hatukuombwa busara zetu

Ndugu nisome vizuri hapo juu. Ushauri wa wengineo pia unahitajika ikiwa jina lako halipo. Angalia chini nimejibu in bold.

Ni Mwanamme kabila Gani? (Mhaya au Mpemba?) - Hapa sina ubaguzi
Kwa ana kazi gani ya kipato? (Mbunge, Mwanamziki au Mnyanyua vyuma? - Sitaki msanii, good IQ important.
atakuwa ameoa au bado (anao wake wangapi kutokana na Dini yenu au yake) - Sitaki mme wa mtu, kuhusu dini tutapatana baadae
Kuchangia sherehe (ni kwa shilingi au tuhudhurie) Mmh sherehe sio muhimu kuzungumza kwa sasa
 
Kaka yangu wa ukwelii KIKUNGU njoo basi tule ugali na nswalu na kuku wa kienyeji baada ya safari yako ya kurina asali na kuokota kuni. Mimi ndi mpanga sana kaka!

Nakubaliana nawe, hakuna jinsi zaidi ya kumuomba na kumtegemea Mungu peke yake maana the devil ameinvest a lot katika relationships maana anaona ni short cut ya kupata wafuasi wengi kiurahisi. Kuna Uzi mmoja kaanzisha Pdidy unahusu sana tu!
 
Last edited by a moderator:
Then love lazima ihusike, kwani ndicho kitu pekee kinachoweza funga zipu za wanaume na kusababisha nyupi zetu zisiteremshwe!

La cheating iwe responsibly maana ya kukinga familia!
Kwahiyo.....mbio zangu zitaishia sakafuni
 
Kwahiyo.....mbio zangu zitaishia sakafuni

Ngoja wengine waje, honestly lazima kuwe na kauopendo fulani ili mahusiano yawork.
Hebu imagine, hayo mahitaji ya ngono unayapata lini? Labla mara 4 kwa mwaka, waweza mpangia mumeo ratiba hiyo? Lkn kukiwa na love waweza taka hiyo mambo ya chumbani labda mara 54 kwa mwaka au 108 au 365 depending na sex life yenu!
 
Hujanisoma vizuri mtarajiwa 🙂 bali nilitaka sana kuwepo na mapenzi lakini naona siku hizi hicho kitu ni dreams tu.

mhm...wewe naona utaleta complications later. u seem kutaja hiki but u actually desire something else.
 
mwaya, wee ndo kocha panga mchezaji na format unayotaka kama ni 4-4-2 au 4-3-3 hata ukiamua kuja na 0-0-10.

Mradi angalau umemaximize furaha yako.
 
Hongera kwa kuwa wazi kwani ni wachache sn. ushauri wangu kwako wanaume huwa hawapendi mwanamke too much talkative na ukiweza kumudu hili basi ndoa kwako kitakua kitu chepesi kingine uvumilivu hili ni tatizo kubwa ktk famiklia nyingi la mwisho mambo ya ndani yawe ni siri kati yako na mumeo ukiweza haya unaona raha ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…