Nimeamua kuolewa......

Nimeamua kuolewa......

Ili nishiriki vyema, naomba umtoe Nyani Ngabu kwanza kwenye list ya washauri nasaha, yeye kwenye ndoa nahisi hafai, bora ungemuweka kwenye business kulee.

........please give him a break!
 
Ntarudi ngoja kwanza 'niirudishe' akili yangu kwenye haya mambo yasiyokuwaga na formula..........!
 
Ndio nimeamua kuolewa at last……but at my own conditions. Kwa kweli nimechoshwa na masharobaro wa hapa mjini, yaani uwizi mtupu, usanii and too many heart breaks, I have to come to conclusion love is not meant for me.

Niko katika mchakato lakini nataka hii ndoa iwe purely of benefits more or less marriage of convenience. Sitaki kuolewa kwa love cause it doesn’t and never worked with me, sitaki kuwa nyumba ndogo, sitaki kuzaa na mume wa mtu, sitaki kuzaa nje ya ndoa, sitaki kulea mume, sitaki kuruka ruka kila siku.

Ninachotaka ni kukidhi matamanio ya mwili, kuendeleza kizazi (tukijaliwa), awe responsible dad to his kids kwasababu sitaki niwe single parent at same wakose mapenzi ya baba yao. Tutasaidiana maisha half half hasa yanayohusu watoto wetu. LOL

Now the challenging part, nataka mawazo yenu, nini nifanye ili hii marriage ionekana attractive kwa mume mtarajiwa. Naomba brainstorming zenu kabla sijaweka bandiko. Maana its like contract and going to be renewable see if we fit, au precaution gani nichukue......

Mtambuzi , Kongosho , Kaunga , The Boss , ndyoko , Preta , Eiyer , King'asti , na Nyani Ngabu na wengineo wote naombeni busara zenu.

si ulisema nikutafutie kaka ya binti ya kizungu,vipi tena?
 
Last edited by a moderator:
Kama kipi?

well seems u want someone to actually love you even tho wasema u have given up on love. now its understandable wewe kuwa a bit skeptical concerning relationship but mind u the relationship u so seek offers its onw challenges though not beknown to u at the moment. so tulizana tafuta mwanaume awe mume for real coz thats wat u truely want
 
Well, kama nilivyosema hapo awali, I want to make it more of contract, I had love to be it love marriage lakini naona duuh siku hizi ni sawa na kutafuta sindano baharini. Labda ingekuwa open marriage lakini mambo ya maradhi bwana yananitia shaka, ndio maana nataka purely benefits, I know what I want and I want a man pespective on this to tell me what could have been more appealing for someone to consider this marriage.

With this labda we will learn to love ourselves later but initially not prequisite.

LOH! unazidi kutia tata uzi wako, labda tuseme kama alivyosema Kikwete: Kama masharti yako ni hayo basi ujiondowe mwenyewe katika mpango wa ndowa na utafute njia nyengine ya kupata hao watoto.
 
MadameX hivi hiyo avatar ni ya kwako wewe mwenyewe? Kama jibu ni ndiyo mume umenipata.
 
loh! Unazidi kutia tata uzi wako, labda tuseme kama alivyosema kikwete: Kama masharti yako ni hayo basi ujiondowe mwenyewe katika mpango wa ndowa na utafute njia nyengine ya kupata hao watoto.

ivf......?
 
muda wangu haujafika bado:redface::redface::redface:

acha utani mtoto matata kama wewe muda wako haujafika unanitania,nita ku PM au vipi natafuta young lady alafu kutokana na jina lako tu linasadiki jinsi ulivyo..mmhh,u seem to b so nice.
 
Hongera ila si lazima uolewe. hiyo ipo either kwa bahati au tabia yako.
Kuwa single mother is possible hata kwa kuwa mjane mapema, hili usijihakikishie kama ukiolewa hutokuwa single mother.
Unaweza pia kutoridhishwa kimapenzi na mume wako katikati ya maisha ya ndoa, hili nalo hutokea.
Imagine ikatokea kugundua kuwa wazazi wako uwapendao wapo katika ndoa ya mkataba, utajisikiaje, halafu mfikirie huyo mtoto unayemtaka hapo.
Maisha ya wawili huwa na nyakati za kero, uchungu, mikwaruzano, hasira. Hayo hufunikwa na msamaha, uvumilivu, upole, uungwana na subira, matendo haya kwa ujumla wake husukumwa na upendo wa dhati. Je kuna namna ambayo unadhani utayaepuka hayo au kuna namna nyingine ya kutatua hayo mambo muendelee kuishi pamoja?
Inaonekana una uzoefu na mahusiano, umeangalia nanma wewe ulivyochangia mahusiano hayo kutofanikiwa?
Before death, there is second time to make things right however the history never change.
Life is choice, you can make it in your own way. make the best choice for yor happiness an you will be the hero of the new way.
Nadhani bado unatamani ndoa out of love, it is not too late you can fight for it but make sure you watch your past steps and focus your move. You can still be sindano kwenye bahari just don't be total pessimist and too optimist.
 
umethubutu,utaweza,songa mbele.jiandae kulala bila chupi na hiyo ngengemkeni mito mingi ipake mafuta muda wote!
 
Ndio nimeamua kuolewa at last……but at my own conditions. Kwa kweli nimechoshwa na masharobaro wa hapa mjini, yaani uwizi mtupu, usanii and too many heart breaks, I have to come to conclusion love is not meant for me.

Niko katika mchakato lakini nataka hii ndoa iwe purely of benefits more or less marriage of convenience. Sitaki kuolewa kwa love cause it doesn’t and never worked with me, sitaki kuwa nyumba ndogo, sitaki kuzaa na mume wa mtu, sitaki kuzaa nje ya ndoa, sitaki kulea mume, sitaki kuruka ruka kila siku.

Ninachotaka ni kukidhi matamanio ya mwili, kuendeleza kizazi (tukijaliwa), awe responsible dad to his kids kwasababu sitaki niwe single parent at same wakose mapenzi ya baba yao. Tutasaidiana maisha half half hasa yanayohusu watoto wetu. LOL

Now the challenging part, nataka mawazo yenu, nini nifanye ili hii marriage ionekana attractive kwa mume mtarajiwa. Naomba brainstorming zenu kabla sijaweka bandiko. Maana its like contract and going to be renewable see if we fit, au precaution gani nichukue......

Mtambuzi , Kongosho , Kaunga , The Boss , ndyoko , Preta , Eiyer , King'asti , na Nyani Ngabu na wengineo wote naombeni busara zenu.

Mwanzo wa NDOA ni MWISHO WA KULALA BILA CHUPI. Watu wanatwanga kinu usiku na mchana pole mweeee.
 
ndoa dada yangu has no formula kuishi pamoja kunahitaji uvumilivu cos mnakutana watu wawili muliolelewa na family tofauti la msingi wote wawili mukubali kujifunza kwa mazuri kutoka kwa mwenzio na kukiri kwa makosa utakayomtendea mwenzio na kuwa tayari kubadirika ,bcos ndoa bila urafiki it doesn't exist take care utakuwa mtu wa kujump from this to that marriage you would not find what u want forever!!!!!!!
 
be careful marriage has no formula the thing is kuwa tayari kwa wote wawili kujifunza mazuri kutoka kwenu na jamii inayowazunguka ,b'cos kila mmoja anatabia zake na mtazamo wake juu ya hiyo ndoa na maisha kwa ujumla so apologies is very important on marriage and undergo positive change on behavior ,otherwise you will be jumping from one marriage to another daily and you won't get what you deserve,innovate what you have,remember to run from the problem is not the solution of solving it......
 
Lol.........Let have some glass of wine kwanza then.......wait a minute si kazi rahisi by the time unapokuwa too serious to make decision ya maisha yako katika ndo ila u need to be more than your to get the right personal in ur lifeee ahaaa je unajua kuwa kuwa watu they good in acting wanapopata wasichana kama nyinyi mnaotaka watu wa huakika< go and try something kwa marafiki wa kiume karibu ulio nao if u want to true love doesn't work now days ila ni kufunuana tuu,,, toka na rafika then u have to act strange character umelewa na u need a romantic touch then have me next time
 
Back
Top Bottom