Ili nishiriki vyema, naomba umtoe Nyani Ngabu kwanza kwenye list ya washauri nasaha, yeye kwenye ndoa nahisi hafai, bora ungemuweka kwenye business kulee.
Ndio nimeamua kuolewa at last but at my own conditions. Kwa kweli nimechoshwa na masharobaro wa hapa mjini, yaani uwizi mtupu, usanii and too many heart breaks, I have to come to conclusion love is not meant for me.
Niko katika mchakato lakini nataka hii ndoa iwe purely of benefits more or less marriage of convenience. Sitaki kuolewa kwa love cause it doesnt and never worked with me, sitaki kuwa nyumba ndogo, sitaki kuzaa na mume wa mtu, sitaki kuzaa nje ya ndoa, sitaki kulea mume, sitaki kuruka ruka kila siku.
Ninachotaka ni kukidhi matamanio ya mwili, kuendeleza kizazi (tukijaliwa), awe responsible dad to his kids kwasababu sitaki niwe single parent at same wakose mapenzi ya baba yao. Tutasaidiana maisha half half hasa yanayohusu watoto wetu. LOL
Now the challenging part, nataka mawazo yenu, nini nifanye ili hii marriage ionekana attractive kwa mume mtarajiwa. Naomba brainstorming zenu kabla sijaweka bandiko. Maana its like contract and going to be renewable see if we fit, au precaution gani nichukue......
Mtambuzi , Kongosho , Kaunga , The Boss , ndyoko , Preta , Eiyer , King'asti , na Nyani Ngabu na wengineo wote naombeni busara zenu.
Kama kipi?
Ushauri wako utakuwa pia ni somo kwa wengine weka tu hadharani 🙂
Well, kama nilivyosema hapo awali, I want to make it more of contract, I had love to be it love marriage lakini naona duuh siku hizi ni sawa na kutafuta sindano baharini. Labda ingekuwa open marriage lakini mambo ya maradhi bwana yananitia shaka, ndio maana nataka purely benefits, I know what I want and I want a man pespective on this to tell me what could have been more appealing for someone to consider this marriage.
With this labda we will learn to love ourselves later but initially not prequisite.
nipo free,single ni PM,nimwage contacts.
Hii nimeipenda hata mtazamo wako mpya kimaisha nimeupenda...New look, new life, ari mpya, changamoto mpya....and life goes on 🙂, Eti hujapenda nilivyo sasa?
muda wangu haujafika bado:redface::redface::redface:
Stop sighing, I need you to comeback with input 🙂
Pandikiza mbegu, baba utakuwa wewe na mama utakuwa wewe.ivf......?
Ndio nimeamua kuolewa at last but at my own conditions. Kwa kweli nimechoshwa na masharobaro wa hapa mjini, yaani uwizi mtupu, usanii and too many heart breaks, I have to come to conclusion love is not meant for me.
Niko katika mchakato lakini nataka hii ndoa iwe purely of benefits more or less marriage of convenience. Sitaki kuolewa kwa love cause it doesnt and never worked with me, sitaki kuwa nyumba ndogo, sitaki kuzaa na mume wa mtu, sitaki kuzaa nje ya ndoa, sitaki kulea mume, sitaki kuruka ruka kila siku.
Ninachotaka ni kukidhi matamanio ya mwili, kuendeleza kizazi (tukijaliwa), awe responsible dad to his kids kwasababu sitaki niwe single parent at same wakose mapenzi ya baba yao. Tutasaidiana maisha half half hasa yanayohusu watoto wetu. LOL
Now the challenging part, nataka mawazo yenu, nini nifanye ili hii marriage ionekana attractive kwa mume mtarajiwa. Naomba brainstorming zenu kabla sijaweka bandiko. Maana its like contract and going to be renewable see if we fit, au precaution gani nichukue......
Mtambuzi , Kongosho , Kaunga , The Boss , ndyoko , Preta , Eiyer , King'asti , na Nyani Ngabu na wengineo wote naombeni busara zenu.
ndoa dada yangu has no formula kuishi pamoja kunahitaji uvumilivu cos mnakutana watu wawili muliolelewa na family tofauti la msingi wote wawili mukubali kujifunza kwa mazuri kutoka kwa mwenzio na kukiri kwa makosa utakayomtendea mwenzio na kuwa tayari kubadirika ,bcos ndoa bila urafiki it doesn't exist take care utakuwa mtu wa kujump from this to that marriage you would not find what u want forever!!!!!!!Ndio nimeamua kuolewa at last but at my own conditions. Kwa kweli nimechoshwa na masharobaro wa hapa mjini, yaani uwizi mtupu, usanii and too many heart breaks, I have to come to conclusion love is not meant for me.