Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #21
Daah kwenye vyeti si kuna picha??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah kwenye vyeti si kuna picha??
wa form 4 mkuu maana me nna Cheti tuu mkuu
Kama nilivyoeleza.. nataka nisomee sound engineering. je ni Chuo gani wanafundisha?
ushauri safi kabisa mkuu.. shukraniSafi Mkuu. Ongeza elimu ni jambo jema. Weka pia utamaduni wa kujisomea vitabu mbalimbali vinavyohusiana na kuongeza maarifa ya Udj na Sound Engineering.
Shukrani mzeebabaOk sawaaa, kama hela ipo wew komaa mwamba, akuna ktakacho haribika kama pesa ipo. Na chuo utapata, japo mm sivijui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani Mkubwa ubarikiwe
[emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]Shukrani Mkubwa ubarikiwe
Pancho Latino si alishakata kamba mkuu!.. na imani utanipa maarifa zaidiWewe ni yule Pancho Latino? Kama siyo yeye karibu inbox nina mengi juu yako.
Oh Sikujuwa hili.Pancho Latino si alishakata kamba mkuu!.. na imani utanipa maarifa zaidi