Njia nzuri sana ya kubana matumizi jombaa, maana mpaka ifikapo 2025 hakuna jiwe moja ambalo litakuwa limesimama, yote yatakuwa yamepinduliwa. Hapo ni mpaka atakapotokea mrithi mwingine wa mamlaka iliyo kuu [emoji23][emoji23][emoji23]Nilijifunza kunywa mwenyewe 2009 na nimeamua kuacha mwenyewe 2020.Kila la heri wanywaji.
Wewe nawe😁😁😁!Hongera sana, nunua hata bia 3 ujipongeze kwa hayo maamuzi
Hata Mungu pia hatiki unywe ,hongera kwa kutii na kuamua.Nafanya kazi hela ninazo.Pia wazazi wangu hawataki,mke nae amekua kero nikinywa