Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,212
- 3,093
Hongera sana, nunua hata bia 3 ujipongeze kwa hayo maamuzi
mrejesho vipi mzee,na wewe si uliacha pombe?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hangover tu hizo
Pale Meridian kinondoni kuna DJ huwa alikua na kibwagizo chake " kura bia kura bia" haha daah.Kula biaaaaa weweeee!!!
Uzi ule niliandika nikiwa nimelewa mzeemrejesho vipi mzee,na wewe si uliacha pombe?
Amefulia. M5 tenaSababu za kuacha ni zipi mkuu?
Hongera kwa uamuzi chanyaNilijifunza kunywa mwenyewe 2009 na nimeamua kuacha mwenyewe 2020.Kila la heri wanywaji.