Nimeamua kustaafu kunywa pombe

Nimeamua kustaafu kunywa pombe

Mkuu uko wapi nikununulie mbili za bariiidi kabisa za kujipongeza kuacha pombe.
 
Mtu ajanywa wiki mbili kaanzisha na uzi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ungesubiri hata mwaka uishe
 
Mara ya mwisho niliumwa kichwa sn baada ya kupiga bia kadhaa. Sasa nimeamua kuanza kunywa bia za nje Heineken, Windhoek, Guinness etc
 
Uamuzi tu, inaachika na Maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom