Nimeamua kutangaza Nia na ninaomba Mniunge Mkono katika Hili!

Nasikia Lara1 ni mbibi wa miaka 50
 
Mkuu umempata huyo, andaa posa tu na mahari ujichukulie jiko kabla hata ya June hapo!
 
Mbona haji jamani,...me mwenyewe nimemiss michambo yake hatari...!!
utampata lakini jiandae kufilisika.
 
Acha tuu kwa kweli japo kuna thread nimekuta anajiita hivi ila nivumilia

mie KUBWA LA MAADUI aka LARA MOJA, LARA THE ONE, LARA 0 BRAIN. (HAHAHAHAAAAA)
Basi huyo ni mafyaa...
 
Komaa mwanangu, nyanya na alizeti ndio habari ya mjini, hata lara 1 anajua, unaweza kumng'oa kimasikharasikhara hivihivi.
 
Napita tu [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Katika kulia lia kwako umejisahau kuandika kuwa unafanya kazi gani...???

Unaishi wapi...??

Una masta kadi au viza kadi...???

Nadhani hivi navyo vingekuongezea maksi...
 
Katika kulia lia kwako umejisahau kuandika kuwa unafanya kazi gani...???

Unaishi wapi...??

Una masta kadi au viza kadi...???

Nadhani hivi navyo vingekuongezea maksi...

Kwan wakulima Wa mihogo wana master card??
 
Yote poa ila sio ndio inafika kumuona unaanza maghumashi
 
Nakuombea ufanikiwe na yeye akupende pia, maana
Nimemic wali wa shughulini hasa 'Swahili Biriani'
 
Mleta mada usikurupuke kupenda ntu usiyemjuwa, lara 1 is one ugly biatch, usidanganyike na ile avatar yake, kwani si yeye umwonae. @lara1 ni jimama lililoshondikana kwa ukahaba hapa mjini, aliolewa mara mbili akaachwa na sasa yuko very bitter na wanaume baada ya kuona kuwa alichezewa na michepuk kisha akaishia kuachwa/kususwa na waume zake wa ndoa. Mpende tu ila usije kushangaa akakugeuzia kibao kutaka akushikishe ukuta. Jichunge.
 
Umempenda sababu ana ujuzi wa kuuza wake za watu?
 
Dooooh salala! Mwenzio wa mjini we mkulina mtawezana kweli au utahamia dsm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…