mkupuo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,808
- 2,048
Mkuu mziki wa Lara 1 utauweza wewe na ukulima wako wa nyanya na Alizeti? Maana nayajua maisha ya Lala1 kwa siku yako hivi:
1.Kifungua kinywa Tsh 20,000/=
2.Lunch Tsh 40,000/=
3.Dinner Tsh 40,000/=
4.Huduma za salon Tsh 50,000/=
5.Mafuta ya Gari Tsh 30,000/=
6.Kifurushi cha Internet Tsh 2,000/=
7.Muda wa hewani wa simu Tsh 5,000/=
Jumla Tsh 187,000/=
Kwa wiki moja = 187,000/= X 7 =1,309,000/=
Kwa mwezi 1= 1,309,000/= X 4 = 5,236,000/=
Na hapo bado sijaweka matumizi mengine. Sasa mkuu jipime, mashamba yako ya Nyanya na Alizeti yanaweza kuzalisha fedha hiyo kwa mwezi? Kazi ni kwako!