Nimeamua kutoka nyumba kubwa na kuingia nyumba ndogo

Ashangedere

Senior Member
Joined
Aug 9, 2010
Posts
119
Reaction score
32
Kama nyumba ndogo ndio inachukua most of the good times
Nyumba ndogo ni ya kufurahi na kutumia na sio kutafuta
Nyumba ndogo ni maraha kwa kwenda mbele hakuna kutukanana wala kudharauliana ni full kuspend

Nina sababu gani ya kuwa nyumba kubwa:-
kusumbuana kuhusu ada za watoto, matumizi
kusumbuana sijui mama anaumwa nenda kakae nae umtibie
kusumbuana oohh sijui uko wapi sitaki uwe na urafiki na yule na huyu
ohh sitaki ufanye kazi hii na masharti kibaooo

NIMEAMUA NATOKA NYUMBA KUBWA NA KUINGIA NYUMBA NDOGO AND I LOVE IT!......
 
yaani asha ngedere kumbe huna akili anaekusumbua kuhusu ada za watoto nani? watoto si wa kwako au ? kama hutaki kusumbuliwa jan ikifika nenda shuleni kwao lipa ada ya mwaka mzimasasa unakimbia familia unaennda kwa hawara kutumia ada ya watoto? ni akili kweli rudi nyumbani wewe au mpm the boss akupe ushauri nasaha wa kuishi na small house kabla hujarudi hapa ukipiga mayowe
 
Pole Saana Asha.... Na pole pia na misuko suko ya Mapenzi unayopitia kila siku; Walau of all the members wapitao hapa kutoa matatizo yao au maamuzi yao, yako yapo consistent ila tu nimesikitika ni hapa ulipofika... Unaingia katika janga ambalo itakua ni furaha kwako Lakini kilio kwa your fellow woman.... Labda kwa wengine kuweza kukuelewa waelewe mtiririko wa Matatizo yako.....

Topic A - Naomba kujuzwa kipi cha ajabu

This was my answer to you then....

Topic B - Natafuta Mtaalamu wa Mambo ya Mahusiano, Matatizo yangu ni Makubwa, tafadhali nisaidieni

Swali langu kwako.... Huu uamuzi wa leo, ni tokana na ulivoshauriwa na LOVE DOCTOR ama tu that is what you want?? Maana kama wafanya sababu tu umeambiwa it is right.... Then dear you are in a long hard haul....
 
Aksante AshaDii sasa umeniweka katika picha. Nimemwelewa Ashangedere pole mamii but nakushauri tu kama umepata ujasiri wa kuingia kwenye nyumba ndogo, basi ningekuomba uutumie ujasiri huo kuishi mwenyewe as in Single parent.
 
I swear im not going to regreat< nilipenda sana and I was never loved back now its my time to receive, I WILL NEVER BE HURT COZ I WILL NEVER LOVE, I will only receive.
 
dahhhh pole sana ..

lakini kumbuka hatujui ini kinakuja kesho dear ..
na sijui na huku mambo ya kiharibika utarudi kwenye nyumba kubwa au ..

anyway .. Kila lakheri na uamuzi wako , kwani wajua ni nini kizuri kwako..
 
Ahsa Ngedere... ndoja nichakachue akili kwanza. Maana sijaelewa nyumba kubwa inaposusa majukumu na kwenda kuwa nyumba ndogo... Hivi nyumba kubwa zote ama nyingi zikihamia kuwa nyumba ndogo watu watapona kweli? Bado najiuliza hapo... halafu labda nitarudi kusema.
 
Ashadii kwenye haya mapenzi we have so many theories that are not necessarly working, but at the end of the day I think happiness is the output everyone is looking for, I have decided to find my happiness in that way, and im sure it will work for me. kwanza ninahasira nimekuwa nikitafuta muda wote and wanawake wengine wa mume wangu wamekuwa wakitumia sana nilivyovitafuta mimi kwa jasho langu, sioni huruma coz hakuna aliyenionea huruma.
 
AshaDii nimekukubali...you are great! umelinki vizuri matukio. Uamuzi alioufanya Ashangedere kwangu mimi naona ni wa busara.
 
dahhhh pole sana ..

lakini kumbuka hatujui ini kinakuja kesho dear ..
na sijui na huku mambo ya kiharibika utarudi kwenye nyumba kubwa au ..

anyway .. Kila lakheri na uamuzi wako , kwani wajua ni nini kizuri kwako..

Nyumba kubwa sirudi kamwe I swear jinsi nilivyoumia ni mpaka niwe nyumba ndogo kwanza kwa muda then ndio niwe single parent, hapo ndio nitaweza kujisamehe kwa kosa la kupenda nililowahi kufanya
 
U can't lov it before u dwell in there babygal! Baada ya mwaka utupe mrudisho nyuma. Kila la kheri,umechagua fungu lililo jema.

Im ready to be responsible for any outcomes< I swear I wont regret
 
I swear im not going to regreat< nilipenda sana and I was never loved back now its my time to receive, I WILL NEVER BE HURT COZ I WILL NEVER LOVE, I will only receive.

Je huyo nyumba ndogo ambae anaenda kuwa nyumba kubwa soon
anajua kwamba huta kaa umpende?? na unajizuia vipi kutompenda mtu ..??
na unauhakika gani huyo nyumba ndogo sasa atakupenda kama we
haumpendi??

Asante..
 
Sasa akiwa single parent atakwepa hizo ada za wanae? Manake mwanaume akiachwa mostly anakuwa hopeless jumla! Na uchumu mdororo haukawii kumkumba! Utaacha kulipia ada wanao bidada,mwisho wakaishie kutanga na dunia?
Aksante AshaDii sasa umeniweka katika picha. Nimemwelewa Ashangedere pole mamii but nakushauri tu kama umepata ujasiri wa kuingia kwenye nyumba ndogo, basi ningekuomba uutumie ujasiri huo kuishi mwenyewe as in Single parent.
 
For your information nimekuwa nalipa hizo ada mwenyewe, matumizi mwenyewe plus kumlisha huyo bwana mwenyewe so imagine nikiwa nyumba ndogo, napewa vyote hivyo na watoto sio wake tena ni 1 call tu hakuna kusumbuana ada matumizi yanaletwa fastaaa, maana anajua akiharibu zitafika
 
Je huyo nyumba ndogo ambae anaenda kuwa nyumba kubwa soon
anajua kwamba huta kaa umpende?? na unajizuia vipi kutompenda mtu ..??
na unauhakika gani huyo nyumba ndogo sasa atakupenda kama we
haumpendi??

Asante..

Atajijua mwenyewe I hate men, I have nothing to loose ajue asijue yote sawa tu.
 
kumbe wewe mwanamke? sory nilidhani mwanaume bwanakweli mwaya tafuta faraja ya moyo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…