Nimeamua kutoka nyumba kubwa na kuingia nyumba ndogo

Nimeamua kutoka nyumba kubwa na kuingia nyumba ndogo

kumbe wewe mwanamke? sory nilidhani mwanaume bwanakweli mwaya tafuta faraja ya moyo wako
Kazi kwelikweli. Mambo yakiharibika mnarudi hapa jamvini mara ohoo naomba ushauria, sijui nini. Shauri yenu.
 
Kila la heri usisahau kurudi hapa jamvini kusimulia baada ya kutendwa/kuchonga mzinga nyumba ndogo.

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom