Jueni hivo tu wakuu,na wala usilete matusi na msimamo wangu SITAOA kamwee.Kama unadhani nimevurugwa hebu TAFAKARI utajua
Hizo hekima alikuwa nazo kabla ya kupata masuria au alizipata baada ya kupata masuria?
Sitaki njaaa
ila pia uamue kutokuolewa
Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.
kheee nitakutafuta ila uandae nionemiradi yako ya kuingiza hela na mradi mkubwa mmoja uandike jina langu halafu tuendeleee na ndoaMkuu mimi cna njaa ila nipo serious nataka kukuoa
Baada ya kupata masulia!
Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.
Kwa kweliBaada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.