Nimeamua kutokuoa

Nimeamua kutokuoa

Jueni hivo tu wakuu,na wala usilete matusi na msimamo wangu SITAOA kamwee.Kama unadhani nimevurugwa hebu TAFAKARI utajua

Kweli Mkuu usioe kabisa hawa jamaa ni wasumbufu sana
 
Sasa hutaki kuoa duniani unataka kuoa wapi? Kama ni mkristo soma Mhubiri 4:9-12 uone faida ya kuwa wawili
 
Mkuu mimi cna njaa ila nipo serious nataka kukuoa
kheee nitakutafuta ila uandae nionemiradi yako ya kuingiza hela na mradi mkubwa mmoja uandike jina langu halafu tuendeleee na ndoa
 
Baada ya kupata masulia!

Inaelekea hujasoma vizuri Biblia na hujui usemalo. Badala yake unakurupuka tu na kuibua hoja zisizokuwa na msingi. Nenda kasome vizuri Biblia, uielewe halafu ndio uje tuzungumze.
 
Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.

Kwa hiyo wakaoe peponi au!!!! Maana sijaelewa umemanisha nn mtu asioe duniani!!!!!
 
Back
Top Bottom