Nimeamua kutulia na mke wangu

Nimeamua kutulia na mke wangu

Vishawishi lazima viwepo mkuu maana kuna pisi utafikiri zimeshushwa kutoka mbinguni laivu. Na sasa hivi kila kitu kitakula njama ili kukuangusha. The entire universe will be against you ili kukujaribu. Hata pisi ambazo mlikuwa hamsalimiani sasa hivi zitaanza kujigongesha. Usitetereke hata pisi iwe kali namna gani 😁

View attachment 3056362
Kitu lainiii kama ute wa yai vile, hivi vishimo hivi basi tu
 
Back
Top Bottom