Nimeamua kutumia avatar ya kike!

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]naona umeamua kunipo povu la jumla na rejareja ukweli unauma ujue Au kifes kasahau kuedit vizuri
Mbona hivyo ungesema nikuwekee nafasi kama unaubavu au weka zako niweke zako!
 
Mkuu umeanza kutawaliwa na element za ushoga!! Shtuka na kukimbia

Hata mbuyu ulianza Kama mchicha
Huyo kijana aliebadilisha avatar kuna mkuu mmoja aliwahi kumwambia hayo hayo maneno uliyoandika leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…