Unapo elekea mtaanza kupishana kwenye dressing table na kugombania makeups na dada zako......[emoji13] [emoji13]Habari!
Kutokana Na mapenzi anayonipa mrembo huyu,mke wangu mtarajiwa nimeamua kutumia avatar yake
Tafadhalini jamani wanaume wenzangu Mimi ni kidume msije mp kutongoza mtabakwa![emoji23] [emoji23]
Tumvumilie tuu ndio mtu wetu wa karibu no way outMe kashanishinda kwakweli[emoji23][emoji23]
Tunakupenda pia muosha naniliu [emoji28] ila umetushinda tabia, kisa cha kuweka avatar ya kike ndio nini maana yake?Ney Na carba nawapenda
Hahaha! Kweli umbea ni ajira siku hizi. Akibisha awaulize SHILAWADU[emoji13] [emoji13] [emoji13] umbea unalipa eti aliniambia Descartes